Je Diamond Platnumz ana management mpya?

Du yaelekea Lemutuz ni anajua kula bata tu ila kwa budget ya nguo mmmh very disorganized make sio kwa matambala yale!!!
Huu mwendokasi wa kuzuia mitumba utamuathiri sana le gaddem akili kubwaz!

Kwa umri wa le Mtuzi sio wa kufikiria kuvaa, kasikilize kibao cha le Mr 2 hold on......unamuuliza jamaa yake mpaka leo wewe unawaza kuvaa? Na utapendeza vipi bila pesa.?
 
- Ukweli ni kwamba mimi na yeye yaani Diamond tupo pamoja under VodacomTanzania, ndio maana nilienda naye UDOM, Mwanza na Neyo na this trip, mimi sio Meneja wake na wala sifanyi kazi kama hizo nina kazi zangu za Social Media ambazo zinanilipa na nazipenda sana!!

le Mutuz

Asante mkuu! Nilijua una promotion company....

Ushauri: Wekeza kwenye promotion ya matamasha ya mziki utapiga sana hela. Naona una passion sana na sanaa pamoja na mambo ya kileo
 
- Ukweli ni kwamba mimi na yeye yaani Diamond tupo pamoja under VodacomTanzania, ndio maana nilienda naye UDOM, Mwanza na Neyo na this trip, mimi sio Meneja wake na wala sifanyi kazi kama hizo nina kazi zangu za Social Media ambazo zinanilipa na nazipenda sana!!

le Mutuz
Hongera brother...
 
Pole sana kwa zile mbio za kukimbuzina na Diamond baada ya show eeh le kupashaz uliemaje
 
- Ukweli ni kwamba mimi na yeye yaani Diamond tupo pamoja under VodacomTanzania, ndio maana nilienda naye UDOM, Mwanza na Neyo na this trip, mimi sio Meneja wake na wala sifanyi kazi kama hizo nina kazi zangu za Social Media ambazo zinanilipa na nazipenda sana!!

le Mutuz
Hahahahahaha na kubeba via2 vya Daimondni sehemu yakazi zako za social media? Ngachoka mie
 
- Well, nilikuwa nimelipwa kwenda na Diamond meaning bila Diamond nisingelipwa kwenda kupiga kazi Kyela, ingebidi hata kumbeba mabegani ningembeba ndivyo nilivyofundishwa na the Americans kwamba Mwanaume huchagui kazi na besides ingekuwa viatu vyako wewe hapo sawa lakini Diamond please hahahahahahahahah by the way narudi tena Kyela na Chameleone so relax utaisoma tu hapa!!

le Mutuz
 
- Well, nilikuwa nimelipwa kwenda na Diamond meaning bila Diamond nisingelipwa kwenda kupiga kazi Kyela, ingebidi hata kumbeba mabegani ningembeba ndivyo nilivyofundishwa na the Americans kwamba Mwanaume huchagui kazi na besides ingekuwa viatu vyako wewe mburulazzzz hapo sawa lakini Diamond please hahahahahahahahah by the way narudi tena Kyela na Chameleone so relax utaisoma tu hapa!!

le Mutuz

Massive respect to you ma nigga.

Kweli mwanaume hachagui kazi bana.
 
- Well, nilikuwa nimelipwa kwenda na Diamond meaning bila Diamond nisingelipwa kwenda kupiga kazi Kyela, ingebidi hata kumbeba mabegani ningembeba ndivyo nilivyofundishwa na the Americans kwamba Mwanaume huchagui kazi na besides ingekuwa viatu vyako wewe mburulazzzz hapo sawa lakini Diamond please hahahahahahahahah by the way narudi tena Kyela na Chameleone so relax utaisoma tu hapa!!

le Mutuz
bro nimeona huko instagram mke wa mzungu anakukimbiza vp umemkera nn?
 
- Well, nilikuwa nimelipwa kwenda na Diamond meaning bila Diamond nisingelipwa kwenda kupiga kazi Kyela, ingebidi hata kumbeba mabegani ningembeba ndivyo nilivyofundishwa na the Americans kwamba Mwanaume huchagui kazi na besides ingekuwa viatu vyako wewe mburulazzzz hapo sawa lakini Diamond please hahahahahahahahah by the way narudi tena Kyela na Chameleone so relax utaisoma tu hapa!!

le Mutuz

Le Mutuz,

Wafundishe vijana wa nyumbani waache mambo ya kuishi vile jamii inavyotaka. Kubeba viatu hakukufanyi wewe uwe less of a human! Much respect my brother...
 
Back
Top Bottom