Je Diamond Platnumz ana management mpya?

Nilikuwa sielewi msamiati wa wanaume wa Dar na nilikuwa sijuwi kwa nini Makonda amechachamaa kupiga vita ushoga Dar kumbe jibu nimeshalipata tatizo ni kubwa kuliko wengine tulivyokuwa tunadhani.
 
Kweli wewe ni mburulaz..yaani kweli huna akili,ungekwenda na chupi basi kama coz bible haijasema..yule ni mama yako kijana..ulimtenga wakati wa maisha yake basi hata amefariki unamdharau kwa kumwendea na pensi nyanya?

- hahahahahahahaha the lowest thinking nimewahi kuona in my life kumbe kuna nguo za kuzikia marehemu, hahahahahahahaha

le Mutuz
 
Nilikuwa sielewi msamiati wa wanaume wa Dar na nilikuwa sijuwi kwa nini Makonda amechacha kupiga vita uhoga Dar kumbe jibu nimeshalipata tatizo ni kubwa kuliko wengine tulivyokuwa tunadhani.
Wewe endelea tu kubwabwaja wanaume wa dar wanaume wa dar... Ngoja nikupe mfano Mdogo, ukienda nchi kama india 'mashoe shiner' akimuhudumia mteja anasimama alafu anakanyaga juu ya mguu wa shoe shiner alafu jamaa anapiga kazi ya kung'arisha, hata kiatu hakivuliwi!! Ila kwa mwenye akili ndogo atasema mimi sifanyi kazi hiyo.. But kuna jamaa uwanja wa ndege wa Cape town alianza kwa dizaini hiyo hiyo anang'arisha viatu vya wasafiri hivi sasa amefungua kampuni na ameajiri watu na amefungua branch uwanja wa ndege Johannesburg na duban... The guy is a milionare now!! Wewe endekeza tu akili ndogo na kutukana watu mitandaoni
 
- hahahahahahahaha the lowest thinking nimewahi kuona in my life kumbe kuna nguo za kuzikia marehemu, hahahahahahahaha

le Mutuz
kuna watu wanauliza mbona masuper bilionea, mastaa, marafiki hawakuwenda msibani? wanasema hao mastaa wangeweza kukodi hata coaster wakaenda msibani, wanasema labda hukutaka watu wajue makazi ya nyumbani Tunduma yalivyo
 
Ni Cape town ipi unayoisema wewe ya kwa Mtogole? Na Jo'burg ipi ya Kempton Park? Hebu peleka ushuzi wako mbele usijaribu kua-underate JF ukadhani watu humu tumeganda hatuizunguki dunia.
 
kuna watu wanauliza mbona masuper bilionea, mastaa, marafiki hawakuwenda msibani? wanasema hao mastaa wangeweza kukodi hata coaster wakaenda msibani, wanasema labda hukutaka watu wajue makazi ya nyumbani Tunduma yalivyo

- Hawakuja kwa sababu hawakuwa na sababu baada ya kunipa mzigo wa kutosha na besides alikuwa ni mama yangu sio mama yao hahahahahahaha

le Mutuz
 
Lemutuz mama hazikwi na pensi nyanya..wallah hizi dharau..na kumbe aliumwa miaka miwili ukamtelekeza wewe unapiga selfie na david mosha tu mjini..kwanini usimchukue ukamuuguza..au ulimuona hapigiki selfie..ila pole sana bro kufiwa na mama sio jambo la mchezo japo wewe ulikwenda na pensi nyanya kama unakwenda kubeba viatu katika show ya diamond.
 
- Hawakuja kwa sababu hawakuwa na sababu baada ya kunipa mzigo wa kutosha na besides alikuwa ni mama yangu sio mama yao hahahahahahaha

le Mutuz
Unaona sasa unavopwaya? Hivi kila mtu angekupa pesa huyo mzazi wako ungemzika mwenyewe? Utabeba jeneza kwahizo pesa?

Nimekueleza kule kwenye ile comment bado hutaki kujifunza, pesa si kila kitu.

Kuna mama mmoja namfahamu alikuwa ni bosi mkubwa Barrick Minning, yeye misiba ya ndugu zake kwanza alikuwa halali msibani na wala hata kuhudhuria tu ni shida, lakini akipigiwa simu ni wa kwanza kuomba namba E-money ili achange na kweli alikuwa mchangaji mzuri sana.

Ikaja mume wake akafa na ndugu zake pia kila walipopigiwa simu walikuwa wanauliza namba ya M-pesa ili wamrushie michango, nilikwenda kwenye msiba ule kwa heshima ya rafiki yangu yule mama alikuwa analia kwa mengi.

Tangu tukio lile yule mama pamoja na kwamba bado ana pesa lakini kwenye misiba ya ndugu sasa hivi analala.

Sidhani kwa mtu mwenye akili ttimamu ni jambo la kujivunia unafiwa na mzazi na hakuna rafiki wa kuwasha gari yake kusafiri na wewe kukupa joto.

Ukitaka kuujuwa unafki wa hao unaodhani ni marafiki zako subiri siku Mzee Malecela Mungu amchukuwe utawaona kimbelembele chao maana wanajuwa ni channel ya kukutana kwa karibu na Rais na viongozi wengine waandamizi na watatowa magari yao mpaka Mtera.

Mark my word, maandishi yetu hapa JF huwa hayafutiki utayakumbuka haya.
 
Alimuona mama yake ni wa duni sana.,akaona aibu kuwapeleka kijijini kwao..ila ukisikia alivyomtenga mama yake huyu wakati anaumwa ungezidi kumtoa maanani..miaka miwili mama yake anateseka na maradhi hana hata hela ya kwenda hospital ya kata yeye anapiga selfie na mbebez nassra international..ni aibu ila huyu huwa hashindwi la kujibu
 
Likubwajigaziiiii kwa miaka 56 hukutakiwa kabisa huku unajibizani na watu usiowajua. Ni umri wa kukaa na wajukuu unawapa hadithi. Baba yangu ana miaka 52 sasa kajituliza nyumbani na wajukuu zake. Wew huoni aibu mzee.
 
- huwa ninaishi na reality of life sipigani na nisichoweza kukibadili, Marafiki zangu matajiri walinichangia pesa za kuamzika mama yangu that is it, nikaenda nikamzika mama yangu hizo siasa zako baki nazo please mimi isizihitaji

le Mutuz
 
- Muombe Mungu wako nimeenda kumuuguza Mama yangu mara nyingi hata nyumba yake ni mimi niliyeibomoa na kuijenga tena na mpaka anaaga Dunia alikiuwa anatibiwa kwa pesa zangu, kakak muombe Mungu akusamehe

le Mutuz
 
Likubwajigaziiiii kwa miaka 56 hukutakiwa kabisa huku unajibizani na watu usiowajua. Ni umri wa kukaa na wajukuu unawapa hadithi. Baba yangu ana miaka 52 sasa kajituliza nyumbani na wajukuu zake. Wew huoni aibu mzee.

- Social Media ndio mkate wangu by theway kwani kuna umri maalum wa Social Media au? hahahahahahahaha

le Mutuz
 
- huwa ninaishi na reality of life sipigani na nisichoweza kukibadili, Marafiki zangu matajiri walinichangia pesa za kuamzika mama yangu that is it, nikaenda nikamzika mama yangu hizo siasa zako baki nazo please mimi isizihitaji

le Mutuz
Tunaomba picha ya kaburi basi maana unajisifia walikuchangia pesa nyingi so tunataka mrejesho wa kaburi ili tuone linaendana na hadhi yako?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…