Je Diamond Platnumz ana management mpya?


- toka nizaliwe ni mara yangu ya kwanza kusikia kuna nguo za kuzikia hebu niambie zinafananaje?

le Mutuz
 
Tunaomba picha ya kaburi basi maana unajisifia walikuchangia pesa nyingi so tunataka mrejesho wa kaburi ili tuone linaendana na hadhi yako?

- Wameniambia kaburi halijengwi mpaka baada ya miezi 3 so pole sana naona unatafuta kasoro kwa nguvu

le Mutuz
 
- Muombe Mungu wako nimeenda kumuuguza Mama yangu mara nyingi hata nyumba yake ni mimi niliyeibomoa na kuijenga tena na mpaka anaaga Dunia alikiuwa anatibiwa kwa pesa zangu, kakak muombe Mungu akusamehe

le Mutuz
Tutaaminije?usidanganye hapa ulimtelelekeza for two years data zako zipo ulikwenda mara moja tuu,na kwann usimchukue downtown ukampeleka regency,hindu mandal au agakhan?why umwache kijijini?na ww ulivyo na sifa wallah ungempeleka regency au agakhan unge-attach risiti hapa ila huna ujanja huo?hio nyumba uliijenga lini?mungu atamjaalia mama maisha mema huko aendako
 
- toka nizaliwe ni mara yangu ya kwanza kusikia kuna nguo za kuzikia hebu niambie zinafananaje?

le Mutuz
Unatakiwe uvae kiheshima..pale sio double tree,sio hivyo ulivyokwenda..mama hazikwi na pensi bana..mbona hapo hakuna hata mmoja alievaa kaptula..au ww ndio ulitaka wakujue kama unatoka downtown
 
Hilo jina la lemutuz limekujaje kwako na jina lako halisi ni wiliam john malecela
 

Nailed it..
 
Nidhamu ya kazi ya Lemutuz, mzee wa mabebez, mzee wa downtown Posta u know....i'm humbled sana!

 
Lemutuz unaamia lini uzunguni Mbweni? Hama downtown man, you are a big celebrity u know!

 
hii picha imenikumbusha kipnd kile MR nice alkuwa ktk ubora alkuwa anaongozana na mbavu kama hao.dah!cku hz cjui jamaa yupo wap
Ni Dereva wa Bajaj Kahama, Shinyanga.
 
Ha ha ha huyu jamaa ni zaidi ya kituko, no wonder ana muda wa kubishana na wanawake mitandaoni!
 
mbeba viatu wa diamond,we huoni kabeba viatu hapo
Tuheshimu ajira za watu zinazowaweka mjini, huyo cheo chake ni 'ward robe supervisor' wa WCB.....hata ile operation ya Makonda ikija yeye amepona.
 
hahaaa
 

Attachments

  • Screenshot_20170906-210602.png
    54.5 KB · Views: 31
  • Screenshot_20170906-210602.png
    54.5 KB · Views: 30
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…