Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
![]()
Lemutuz mama hazikwi na pensi nyanya..wallah hizi dharau..na kumbe aliumwa miaka miwili ukamtelekeza wewe unapiga selfie na david mosha tu mjini..kwanini usimchukue ukamuuguza..au ulimuona hapigiki selfie..ila pole sana bro kufiwa na mama sio jambo la mchezo japo wewe ulikwenda na pensi nyanya kama unakwenda kubeba viatu katika show ya diamond.
Tunaomba picha ya kaburi basi maana unajisifia walikuchangia pesa nyingi so tunataka mrejesho wa kaburi ili tuone linaendana na hadhi yako?
Wewe mwenzangu unalipwa kila comment, mimi am no body, majibu uliyonijibu yamejitosheleza, au una lingine?
Footballer Francesco Totti ni kweli ulikutana nae mkapiga picha?- Social Media ndio mkate wangu by theway kwani kuna umri maalum wa Social Media au? hahahahahahahaha
le Mutuz
Tutaaminije?usidanganye hapa ulimtelelekeza for two years data zako zipo ulikwenda mara moja tuu,na kwann usimchukue downtown ukampeleka regency,hindu mandal au agakhan?why umwache kijijini?na ww ulivyo na sifa wallah ungempeleka regency au agakhan unge-attach risiti hapa ila huna ujanja huo?hio nyumba uliijenga lini?mungu atamjaalia mama maisha mema huko aendako- Muombe Mungu wako nimeenda kumuuguza Mama yangu mara nyingi hata nyumba yake ni mimi niliyeibomoa na kuijenga tena na mpaka anaaga Dunia alikiuwa anatibiwa kwa pesa zangu, kakak muombe Mungu akusamehe
le Mutuz
Na kwavile tumekupa ukweli naona utakimbilia kuliremba hilo kaburi ili upate picha za kuja kuringishia..- Wameniambia kaburi halijengwi mpaka baada ya miezi 3 so pole sana naona unatafuta kasoro kwa nguvu
le Mutuz
Unatakiwe uvae kiheshima..pale sio double tree,sio hivyo ulivyokwenda..mama hazikwi na pensi bana..mbona hapo hakuna hata mmoja alievaa kaptula..au ww ndio ulitaka wakujue kama unatoka downtown- toka nizaliwe ni mara yangu ya kwanza kusikia kuna nguo za kuzikia hebu niambie zinafananaje?
le Mutuz
Unaona sasa unavopwaya? Hivi kila mtu angekupa pesa huyo mzazi wako ungemzika mwenyewe? Utabeba jeneza kwahizo pesa?
Nimekueleza kule kwenye ile comment bado hutaki kujifunza, pesa si kila kitu.
Kuna mama mmoja namfahamu alikuwa ni bosi mkubwa Barrick Minning, yeye misiba ya ndugu zake kwanza alikuwa halali msibani na wala hata kuhudhuria tu ni shida, lakini akipigiwa simu ni wa kwanza kuomba namba E-money ili achange na kweli alikuwa mchangaji mzuri sana.
Ikaja mume wake akafa na ndugu zake pia kila walipopigiwa simu walikuwa wanauliza namba ya M-pesa ili wamrushie michango, nilikwenda kwenye msiba ule kwa heshima ya rafiki yangu yule mama alikuwa analia kwa mengi.
Tangu tukio lile yule mama pamoja na kwamba bado ana pesa lakini kwenye misiba ya ndugu sasa hivi analala.
Sidhani kwa mtu mwenye akili ttimamu ni jambo la kujivunia unafiwa na mzazi na hakuna rafiki wa kuwasha gari yake kusafiri na wewe kukupa joto.
Ukitaka kuujuwa unafki wa hao unaodhani ni marafiki zako subiri siku Mzee Malecela Mungu amchukuwe utawaona kimbelembele chao maana wanajuwa ni channel ya kukutana kwa karibu na Rais na viongozi wengine waandamizi na watatowa magari yao mpaka Mtera.
Mark my word, maandishi yetu hapa JF huwa hayafutiki utayakumbuka haya.
Ni Dereva wa Bajaj Kahama, Shinyanga.hii picha imenikumbusha kipnd kile MR nice alkuwa ktk ubora alkuwa anaongozana na mbavu kama hao.dah!cku hz cjui jamaa yupo wap
Tuheshimu ajira za watu zinazowaweka mjini, huyo cheo chake ni 'ward robe supervisor' wa WCB.....hata ile operation ya Makonda ikija yeye amepona.mbeba viatu wa diamond,we huoni kabeba viatu hapo
Le supa mbebez utaolea mahari ya mwanzo au mpya?maana nna mchango wako hapa.- Nikiwa tayari kwa sasa bado nipo nipo U know hahahahahahah
le Mutuz Nation