Je Diamond Platnumz ana management mpya?

Je Diamond Platnumz ana management mpya?

- hahahahahaha ningekuwa na mtoto kama wewe ningejiua maana mtoto anayefuatilia maisha ya wanaume asiowajua kwenye mitandao na majina ya bandia ni hasara kama sio liziki U know hahahahahahaha

le Mutuz
Huwezi kuwa na mtoto kama mimi lemutuz maana mimi nina akili darasani ..hata tukocompare vyeti hapa kuanzia O-level, A-level mpaka chuo wewe hunikamati kwa lolote,maybe kwa mashauzi ndio ckuwezi,na hao watoto ulionao wamebebwa na mke wako aliekutaliki na huna right hata ya kuwaona unaishia kujitapa tu,so huo umaarufu wako kunuka utaishia hvy hvy kubeba viatu vya wanaume wenzako,tena mtoto ambae unamzaa anakubebesha viatu,hizo degree 3 hazijakusaidia chochote.
 
Huwezi kuwa na mtoto kama mimi lemutuz maana mimi nina akili darasani na ww ni mburulaz..hata tukocompare vyeti hapa kuanzia olevel,alevel mpaka chuo wewe hunikamati kwa lolote,maybe kwa mashauzi ndio ckuwezi,na hao watoto ulionao wamebebwa na mke wako aliekutaliki na huna right hata ya kuwaona unaishia kujitapa tu,so huo umaarufu wako kunuka utaishia hvy hvy kubeba viatu vya wanaume wenzako,tena mtoto ambae unamzaa anakubebesha viatu,hizo degree 3 hazijakusaidia chochote.

- kufuatilia maisha ya wanaume wenzako mitandaoni kwa majina ya bandia na kubeba viatu vya diamond unasema ipi bora? hahahahahahahahahahahah

le Mutuz
 
Mkuu with all due respect naomba kukuuliza tu kwa nia njema, viatu ulivyovishika kwenye hiyo picha ni vya nani?

- ni viatu vya Diamond vya kubadilisha akiwa kwenye Show, ninasema hata ningeambiwa kumbeba mabegani kwa hela niliyolipwa nisingejiuliza mara mbili sawa boss hahahahahahahahah

le Mutuz
 
- ni viatu vya Diamond vya kubadilisha akiwa kwenye Show, ninasema hata ningeambiwa kumbeba mabegani kwa hela niliyolipwa nisingejiuliza mara mbili sawa boss hahahahahahahahah

le Mutuz
Lemutuz usidanganye watu wewe hata bure ungekwenda kwa kupenda sifa huko,umeumbuliwa na yule dada mpaka nakuonea huruma wallah..then lemutuz eti ni kweli ulikwenda kwenye mazishi ya mama yako na pensi nyanya?maana kama ni kweli basi kuanzia leo nakuita LE MBURULAZZ maana itakua ni kituko ambacho hakijawahi kutokea duniani?
 
- ni viatu vya Diamond vya kubadilisha akiwa kwenye Show, ninasema hata ningeambiwa kumbeba mabegani kwa hela niliyolipwa nisingejiuliza mara mbili sawa boss hahahahahahahahah

le Mutuz
Kwa maoni yangu next time kazi hii muachie baunsa wake afanye, Degree tatu uzitendee haki sidhani kama ulilipwa na Vodacom kwenda kufanya kazi hiyo.

Hapana brother pesa si kila kitu katika maisha, maana tukiendekeza pesa ipo siku tutaambiwa tuinamishwe tupigwe pipe na tutakubari in the name of making money.

Hapa umekosea rekebisha hili kwa nia njema. Ukiniona na mimi ni akili ndogo hewala Boss.
 
- majuu nilifagia vyoo nimeacha watu na heshima zao wanatunza wazee na matahaira, unajua ni vigumu sana kwa binadam kuongelea ambacho hajapitia for sure sasa naona unadhani na wengine wote watakuwa kama wewe hahahahahahahaha pole sana

le Mutuz
 
Lemutuz usidanganye watu wewe hata bure ungekwenda kwa kupenda sifa huko,umeumbuliwa na yule dada mpaka nakuonea huruma wallah..then lemutuz eti ni kweli ulikwenda kwenye mazishi ya mama yako na pensi nyanya?maana kama ni kweli basi kuanzia leo nakuita LE MBURULAZZ maana itakua ni kituko ambacho hakijawahi kutokea duniani?

- eti mstari upi wa bilblia unazungumzia nguo za kuzikia? hahahahahahaha yaani humu mpaka inatisha sana hahahahahahaha

le Mutuz
 
Kwa maoni yangu next time kazi hii muachie baunsa wake afanye, Degree tatu uzitendee haki sidhani kama ulilipwa na Vodacom kwenda kufanya kazi hiyo.

Hapana brother pesa si kila kitu katika maisha, maana tukiendekeza pesa ipo siku tutaambiwa tuinamishwe tupigwe pipe na tutakubari in the name of making money.

Hapa umekosea rekebisha hili kwa nia njema. Ukiniona na mimi ni akili ndogo hewala Boss.
Degree tatu anabeba viatu?mimi moja tu wallah boss wangu simbebei viatu labda aniombe tena hapo nitajifkiria..wallah hizi pesa zitatupeleka pabaya..bora upate kidogo ila ukiwa umeridhika utaishi maisha mazuri kuliko huyu anaesumbuliwa na stress za maisha
 
kuwa na adabu jembe huyo ni mtu mzima kuwa na heshima
Nani kakuambia ni mtu mzima? Unajua sifa za kuitwa mtu mzima? Uwezi kuchekacheka ovyo ukaitwa mtu mzima.
Uwezi kuongea ujinga ukaitwa mtu mzima. Kuwa na umri mkubwa sio kuwa mtu mzima. Unaweza kuwa na miaka 56 lakini ukawa na akili za kitoto.
 
Degree tatu anabeba viatu?mimi moja tu wallah boss wangu simbebei viatu labda aniombe tena hapo nitajifkiria..wallah hizi pesa zitatupeleka pabaya..bora upate kidogo ila ukiwa umeridhika utaishi maisha mazuri kuliko huyu anaesumbuliwa na stress za maisha
Kwakweli am speechless, kama Degree zenyewe ndio hizi basi watoto wangu bora niwapeleke VETA mapema wasipoteze muda wao kwenye elimu ambayo haitowakombowa.
 
Nani kakuambia ni mtu mzima? Unajua sifa za kuitwa mtu mzima? Uwezi kuchekacheka ovyo ukaitwa mtu mzima.
Uwezi kuongea ujinga ukaitwa mtu mzima. Kuwa na umri mkubwa sio kuwa mtu mzima. Unaweza kuwa na miaka 56 lakini ukawa na akili za kitoto.

- hahahahahah akili za kikubwa ni kuingia kwenye mitandao ya kijamii na kuanza kufuatilia maisha ya wanaume usiowajua hahahahahahaha pole sana dogo hahahahahaha

le Mutuz
 
- eti mstari upi wa bilblia unazungumzia nguo za kuzikia? hahahahahahaha yaani humu kumejaa mburulazzz mpaka inatisha sana hahahahahahaha

le Mutuz
Kweli wewe..yaani kweli.....,ungekwenda na chupi basi kama coz bible haijasema..yule ni mama yako kijana..ulimtenga wakati wa maisha yake basi hata amefariki unamdharau kwa kumwendea na pensi nyanya?
 
Bro mbona umepanic sana povu la nn matus yote haya kwa kosa gan alilofanya anyway watu Kane wote ila sio marehem after all mwanaume kamili hatukan mitandaon unless unihakikishie kuwa ww ni mwanamke na una wivu wa kimapenz na le mutuz
Aisee nashangaa povu linavyomtoka!! Nnachomkubali le mutuz yani wewe tukana uwezavyo ila mwenzako amerelax tu tena anaanza kukujibu kwa kicheko hahahahahahah..

Le mutuz mi nakuelewa sana aisee! Endelea kuwanyoosha
 
Aisee kuna watu hawajielewi!! Sasa kubeba viatu nayo ni ishu??? We humuonagi babu tale anamfungulia hadi mlango wa gari, anambebea hadi taulo la kujifuta jukwaani... Hiyo ni kama 'customer care', wewe uko pale unalipwa kwa ajili yake (diamond) so lazima uhakikishe kila kitu kinaenda sawa ikiwezekana hata kumbebea viatu, miwani, kofia.. Tatizo watu wenye akili ndogo hawawezi kuelewa hili
 
Back
Top Bottom