Je Diara Djigui pale Yanga yupo kwa ajili ya Clean sheet pekee?

PERAMIHO YETU

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2018
Posts
6,288
Reaction score
17,333
Ni mara yatatu ama siyo ya nne namuona golikipa.wa yanga akisharuhusu TU goli bas kwake hapo mech imeisha kwa upande wake atajivunja na na golikipa mwingne kuingia

Nadhan huyu yupo kwa ajil ya kaz Moja TU yanga hasa kwa hz timu za madaraja ya Kati kwake kuruhusu gol kwake n kama n dhambi kabisa

Ikumbukwe DIARA n kipa mzuri SANA anaisaidia sana KLABU yake lakini hizi tabia zake zimepelekea Leo timu yetu kupoteza alama.japo n makosa.ya mabek lakn kuna maeneo DIARA angeweza kuipanga defense yake vizuri

Na huyu mwamnyeto ajitafakar kwakwel naona taa nyekundu kwake
 
Hujawahi kucheza mpira ndio maana unaongea upuuzi.
Rotation ni muhimu kwenye team ila Diarra pale anakosa rotation sababu ana nafasi ya kufukuzia rekodi yake binafsi ya kuwa na CS nyingi. Sasa kama team ishafungwa, na wenzake wanapata nafasi ya kucheza unless walikuwa signed kuja kuchukua mshahara wa bure.
 
Simba na Yanga wanajionaga wao ndo wenye haki ya kuwafunga timu nyingine zote za ligi kuu. Yaan hata sare wanaona kwao siyo matokeo mazuri wakati huu ni mpira na hamna timu duniani haifungwi. Wakifungwa basi ni taharuki na makelele kibao.
 
Diarra ni binadamu,anapandwa hasira na kushikwa na huzuni pia
 
Diara ni kama anajikuta yeye ni bora kuliko timu yaani kiufupi amewashika yanga pakunyea ila huyo kipa alieingia 🤣🤣🤣🤣🤣🤣mzembe sana ile mipira hata ningekuwa mimi nisingefungwa kipumbavu vile
Ni kwakuwa hujui mpira,leo ni Mungu ndio alipanga yanga ifungwe,we ulisikia wapi mwamnyeto anajifunga kwa tiktaka,ulisikia wapi wachezaji wa yanga wamekosa goli very clear 10!
 
hii cocktail ya zabibu na alizet tutaharisha sana ki ufupi wachezaj wamechoka
 
Kama mnamfukuza kocha tena mtasha mnawapa timu msomali mwenzenu Hayo ndiyo matokeo yake.
Robo robo fc anacheeeekaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…