Je Diara Djigui pale Yanga yupo kwa ajili ya Clean sheet pekee?

Ndivyo mpira ulivyo.
Poleni sana wanayanga kwa kufungwa na Dodoma jiji
 
Diara ni mkubwa kuliko Yanga na sisi mashabiki, wapenzi na wanachama tumekubali hili.
 
Ni wazi Mungu alipanga tushindwe
Duh! Mungu anapanga mpaka matokeo ya mpira. Vipi wale wanaosena mpira haram!?? Hao Mungu wao hapangi hajihusishi na mpira?!🤔🤔🤔Yaan aache kuokoa watoto Gaza huko akapange matokeo ya Yanga na mpira wetu ulivyojaa imani za Kishirikina. Yanga kafungwa sababu si Mungu kapanga ila kiufundi hawakuwa makini kuanzia kiulinzi hadi kiushambuliaji, wamekosa magoli mengi sana. Mungu angekuwa anapanga basi hata timu ambazo hazijawekeza sna wangebeba kombe na watu wasingewekeza mihela maana kombe lenyewe linachukuliwa na Yanga na Simba tu wengine wanagombea kutoshuka au kucheza kimataifa. Yanga wajipange warudi vizuri wasisingizie Mungu.
 
Mwamnyeto kacheza mechi nyingi kachoka anatakiwa apumzike beki yupo katikati ya goli harafu anataka kuosha mpira kama Salum Kabunda anategemea mpira utaenda wapi..
 
Baada ya kufungia yule mshika matunguli naona mnaenda kupigwa game mbili back to back ...mpk arud mtakuwa hoi..mtu anapewa cheo cha umeneja kumbe ni mganga wa timu
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…