Je Diploma in secondary education itafutwa?

Je Diploma in secondary education itafutwa?

Tatizo hapa sio physics ni hiyo diploma [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]🪑[emoji575]
Lazima diploma wapelekwe secondary hadi waishe ambao wamehitimu, labda Hawa ambao ndo wanaenda chuo
 
Lazima diploma wapelekwe secondary hadi waishe ambao wamehitimu, labda Hawa ambao ndo wanaenda chuo
Mkuu shida ni kwamba, walimu wa degree pia nao wengi sana mtaani tangu 2015, mwendazake alivyoanza toa ajira kwa mafungu.

Kingine hata ulipelekwa msingi bado utaendelea kupata stahiki zile zile za diploma.

Labda kama unataka status
 
Yamesemwa wapi hayo uongo ajira mpya lazima diploma ziende secondary
Yamesemwa kwenye sera mpya ya elimu inayoanza utekelezaji mwaka huu
Ulicho nacho ni denial Wala sio mbaya Inasaidia kupunguza frustrations
 
Yamesemwa kwenye sera mpya ya elimu inayoanza utekelezaji mwaka huu
Ulicho nacho ni denial Wala sio mbaya Inasaidia kupunguza frustrations
[emoji16][emoji16][emoji16]sawa Mchengerwa
 
Back
Top Bottom