digba sowey
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 8,926
- 17,880
Mtahara,poor teacherNo nimemaanisha kama Nina diploma in secondary siajiriwa Tena secondary kwa huu mtahara
Mwalimu wa diploma ya physicsMtahara,poor teacher
[emoji16][emoji16][emoji16]Mwalimu wa diploma ya physics
Yamesemwa wapi hayo uongo ajira mpya lazima diploma ziende secondaryNi Mtaala mkuu yah kulingana na haya mabadiliko utalazimika kwenda kuongeza elimu
Ni ghafla sana!!
Lazima diploma wapelekwe secondary hadi waishe ambao wamehitimu, labda Hawa ambao ndo wanaenda chuoTatizo hapa sio physics ni hiyo diploma [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]🪑[emoji575]
Mkuu shida ni kwamba, walimu wa degree pia nao wengi sana mtaani tangu 2015, mwendazake alivyoanza toa ajira kwa mafungu.Lazima diploma wapelekwe secondary hadi waishe ambao wamehitimu, labda Hawa ambao ndo wanaenda chuo
Yamesemwa kwenye sera mpya ya elimu inayoanza utekelezaji mwaka huuYamesemwa wapi hayo uongo ajira mpya lazima diploma ziende secondary
[emoji16][emoji16][emoji16]sawa MchengerwaYamesemwa kwenye sera mpya ya elimu inayoanza utekelezaji mwaka huu
Ulicho nacho ni denial Wala sio mbaya Inasaidia kupunguza frustrations
Mi nilijua unauliza upweke jibu...kumbe!?Na je ni halali mwalimu wa Diploma kufundisha Sekondari?