Je, DJ Mami wa Wasafi FM ndio DJ bora wa kike kwa sasa?

Namsikia dj fety muda huu kwenye machine yuko na vibe la hatari. ni baada ya clouds kumaliza kifungo chao
 
DJ wa maana ni sweet lady wa Peramiho Djs, (wa CCM pia) hata waziri mkuu huwa anachanganyikiwa, sio hao wa kuvaa uchi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…