Freed Freed
JF-Expert Member
- Jun 27, 2017
- 6,547
- 7,167
Ok, mmepandishiwa mishahara, nini kimebadilika kwenye maisha yenu?...akiwa Waziri wa Fedha inadaiwa ndiye aliyemshauri Rais Magufuli kuwa kuwapandishia wafanyakazi mishahara kila mwaka sio Jambo la lazima bali ni hiari, "Tuhangaikie miradi Kwanza".
Acha kutudanganya habari ya mfumo,huu ni mtizamo wako unataka uone wanazengo watasemaje!!Ktk mazungumzo yangu na watu nyeti nimedokezwa Jambo la kushangaza. Wanadai kuwa ishaamuliwa baada ya Mama yetu mpendwa, ajaye ni Makamu Rais Dr Philip Mpango.
Niliwaambia mbona Kuna vijana wawili na hata wanne machachari wanatajwa kuwinda nafasi hii? Wakadai kuwinda na kulenga shabaha ni jambo jingine.
Nikawauliza tena hadi kipindi tarajiwa Makamu atakuwa Mzee Sana!! Wakanijibu wewe wasema!!
Niliondoka nimeinamisha kichwa chini kwa sababu akiwa Waziri wa Fedha inadaiwa ndiye aliyemshauri Rais Magufuli kuwa kuwapandishia wafanyakazi mishahara kila mwaka sio Jambo la lazima bali ni hiari, "Tuhangaikie miradi Kwanza".
Philip Isdory Mpango atastaafu na Samia wake, wote washachoka 'wanazeeka pamoja'Ktk mazungumzo yangu na watu nyeti nimedokezwa Jambo la kushangaza. Wanadai kuwa ishaamuliwa baada ya Mama yetu mpendwa, ajaye ni Makamu Rais Dr Philip Mpango.
Niliwaambia mbona Kuna vijana wawili na hata wanne machachari wanatajwa kuwinda nafasi hii? Wakadai kuwinda na kulenga shabaha ni jambo jingine.
Nikawauliza tena hadi kipindi tarajiwa Makamu atakuwa Mzee Sana!! Wakanijibu wewe wasema!!
Niliondoka nimeinamisha kichwa chini kwa sababu akiwa Waziri wa Fedha inadaiwa ndiye aliyemshauri Rais Magufuli kuwa kuwapandishia wafanyakazi mishahara kila mwaka sio Jambo la lazima bali ni hiari, "Tuhangaikie miradi Kwanza".
Anaweza kuanza hata kabla ya 2025; wewe ulijua samia atakuwa rais 2021?!Ungewauliza kuanzia mwaka gani?
Kwa mujibu wa TEC ..Mpango ndo anatakiwa aanze mwaka 2025...
Ni kweli mkuu FDR atawala kwa miaka 12 sijui mpango baada ya 12 atakua na umri gani!!?coz yaonekana fdr alitawala akiwa kitini mlemavu je huyu nae atakua kitini KWA muendelezo ule wa KUPONA corona akiwa chini ya uangalizi mkubwa wa doctors!!?Anaweza kuanza hata kabla ya 2025; wewe ulijua samia atakuwa rais 2021?!
Kwanza Mimi sifanyi kazi serikalini, lakini watumishi wanadai Kuna unafuu Sasa.Ok, mmepandishiwa mishahara, nini kimebadilika kwenye maisha yenu?
Vilio vimeongezeka kuliko wakati wa yule aliyewanyima nyongeza, japo sitetei kunyimwa stahiki zenu. Tozo kila utakapokanyaga.
Kama huamini, huu Uzi utatrend 2030Acha kutudanganya habari ya mfumo,huu ni mtizamo wako unataka uone wanazengo watasemaje!!
Mkuu lakini jabali limekaa kimya sana!!Wana macho lakini hawaoni, waoona macho yametiwa Giza, Ili kuona kwao kuwe sawa na kutoona.
Acha ikae Ivo Ivo.
TEC ni kina nani hadi waamue nani awe naniPhilip Isdory Mpango atastaafu na Samia wake, wote washachoka 'wanazeeka pamoja'
Anayefuata baada ya Samia waulize TEC
Jabali limekaa kimya sana,au linachora ramani ya operation thunderstorm sio litakaposhika hatamu!!?Wana macho lakini hawaoni, waoona macho yametiwa Giza, Ili kuona kwao kuwe sawa na kutoona.
Acha ikae Ivo Ivo.
Unamaanisha ni kauzu?Manjozi ya mtoa mada Dr mpango atakuwa mzee mno, pia ni hatari kwa mfumo uliopo, Jamaa haangaliagi hata jirani kalalaje kala au kulala njaa πππ