Je, Dkt. Mpango ndiye Rais ajaye?

K
Kama mlivyo mtabilia Salim kikeke... 😃😃😃, na ikwa kweli...
 
Jamaa toka wafiwe wanaangaika sana kwa sababu wanatamani walipate jitu jingine lenye roho mbaya kama chatu mla watu sasa wamejigeuza kuwa waganga wa kienyeji kazi yao kubwa ni kupiga ramli.
Eti "katika mazungumzo yangu na watu nyeti" 😂
 
Huyo mwacheni akapumzike nyumbani kwake,Chanika.
Hiyo nafasi wampe Josephat Gwajima!

Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
 
Huyu mpango , mwaka gani kwanza maana 2025 uchaguzi ukifanyika ccm inaondoka mpende msipende ,chukua hii, 2030 mpango atakua amezeeka ,
Hutaki hii atajijua asema Bwana
 
2030 kutakua na vijana ambao watapambana na Chadema ikiwa madarakani, ila hawataweza maana ccm wakati huo itakua imechakaa mara 20, kama ccm wataweza kukirudisha mchezoni chama may be 2035, nayo itategemea wapi chadema watakua wamefail katika kuwatumikia wananchi

Sasa ccm jidanganye iba kura 2025 ndo mtajua hamjui , sio maneno yangu ,bali nikutoka kwake aliejuu, awafanyae kaa kwenye viyoyozi, na mav8
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…