Je, Dkt. Mpango ndiye Rais ajaye?

Nataka niseme kitu ila ngoja kwanza
Mkuu!

We huoni hao hamas wamechomoa betri moto wa israel utawaka HADI huku na mwakitozo atashindwaa kuuota moto huo na Dr. Ntibazonkiza akaukwaa japo NADHANI hawezi coz kutatokea purukshani za kufa mtu!then atapatikana protestant ashike coz Bakwata watakomaa nao!!

Zote ramli hizi!!
 
Ni mtu mwaminifu,ana weledi unaotakiwa,ni mpole na mnyenyekevu,kwa hiyo anatufaa kama Rais,ila ajiuze kama Mpango,sio kwa banner ya CCM.

Infact kwa jinsi upepo wa kisiasa unavyokwenda, CCM wangeachana na Samia 2025 na wamuweke Mpango kama mgombea wao,in that way I see them winning easily,kwa kuwa Watanzania wengi bado ni wajinga.Samia kavuruga sana,kukubali ubia na Waarabu kwenye Bandari!Huku ni kuuza rasilimali zetu vijana wetu kwa Waarabu kama mashoga,mbona hiyo ndiyo kazi yao.

Hata hivyo to me CCM ni chumvi iliyo-haribika,wamewafanyia Watanzania mengi sana maovu,and are incapable of delivering kwa hiyo waondoke,ingawa wana uwezo waku-reorganize na wakafanya vizuri kama wakiamua.Kapo ka-clique ka watu wachache kanakoiharibu CCM,hako wakika-eliminate,CCM can do better.

Tatizo la opposition ni kwamba haipo competent na ni wachumia tumbo tu kama CCM.

Unajua mkuu,Magufuli alifanya vizuri kuto waongezea wafanyakazi mishahara.Wafanyakazi wetu mpo very selfish. Mnataka kuongezewa mishahara wakati wenzenu wengi hata mlo mmoja kwa siku hawapati?!Ni lazima tugawane wote keki ya Taifa sawa.Naomba nirudie, uamuzi wao ulikuwa sahihi kabisa.
 
Kikubwa kafanya kazi world Bank anajua uchumi wa Duniani unavoenda!
 
Kupatikana kwa hayo maendeleo kuna uhusiano mkubwa na rais.

Huwezi kupata hayo maendeleo kama serikali inaongozwa na watu wasiojua hata vipaumbele vya nchi.
Na hatuna tu wa kutupeleka mbele Mkuu
Kwa nchi zetu inahitaji wengi wa kusaidia ila kama Rais anafanya haya na wa chini wanaiba usitegemee maendeleo hapo
 
Tutaitunza hii post wa heshima zote
 
Ok, mmepandishiwa mishahara, nini kimebadilika kwenye maisha yenu?

Vilio vimeongezeka kuliko wakati wa yule aliyewanyima nyongeza, japo sitetei kunyimwa stahiki zenu. Tozo kila utakapokanyaga.

Kupandishiwa mishahara na kubadilika kwa maisha ni mambo mawili tofauti.
Wangapi mitaani wanapokea 1m + take home na bado wanaspend kwenye starehe within a week hawana hela

Lakin kuna anae pokea 500k take home, anajenga na nyumba


Ni suala la priority ya mtu mwenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…