Je, Don Nalimison ni raia wa Marekani au Tanzania, vipi maandalizi ya kitabu chake"AMERICAN LAND"

Je, Don Nalimison ni raia wa Marekani au Tanzania, vipi maandalizi ya kitabu chake"AMERICAN LAND"

Wape hai huko mamtoni waambie bongo bado ni daresalamu
 
Natabiri kwamba uzinduzi wa hiki kitabu utajaza 'halaiki' ya watu.

Na kuna uwezekano mkubwa watu wakakosa tiketi.

The only solution ni kununua tiketi mapema.

Usisema hatukukuonya

Nasema uongo ndugu yangu Masqo?
 
Back
Top Bottom