Black billionaire JF-Expert Member Joined Oct 16, 2018 Posts 455 Reaction score 526 Jan 26, 2021 #21 Duuuuh, Minne bado.
cocochanel Platinum Member Joined Oct 6, 2007 Posts 27,885 Reaction score 76,043 Jan 26, 2021 #22 Bujibuji said: Umeliona shati la kwendea kanisani? Halafu kichwani kanyoa nyota π View attachment 1686590 Click to expand... π π π πnilizumu aliyosimama hata ndio nikaona cha mkononi hajaacha bado... anasema ana nyota humu kupita woteeeeπ
Bujibuji said: Umeliona shati la kwendea kanisani? Halafu kichwani kanyoa nyota π View attachment 1686590 Click to expand... π π π πnilizumu aliyosimama hata ndio nikaona cha mkononi hajaacha bado... anasema ana nyota humu kupita woteeeeπ
Rhz4567 JF-Expert Member Joined Mar 16, 2018 Posts 4,893 Reaction score 6,599 Jan 26, 2021 #23 Wape hai huko mamtoni waambie bongo bado ni daresalamu
Pep JF-Expert Member Joined Jul 29, 2015 Posts 2,338 Reaction score 5,488 Feb 6, 2021 #24 Natabiri kwamba uzinduzi wa hiki kitabu utajaza 'halaiki' ya watu. Na kuna uwezekano mkubwa watu wakakosa tiketi. The only solution ni kununua tiketi mapema. Usisema hatukukuonya Nasema uongo ndugu yangu Masqo?
Natabiri kwamba uzinduzi wa hiki kitabu utajaza 'halaiki' ya watu. Na kuna uwezekano mkubwa watu wakakosa tiketi. The only solution ni kununua tiketi mapema. Usisema hatukukuonya Nasema uongo ndugu yangu Masqo?