Je, Donald Trump kukamatwa Jumanne ijayo? Awataka Wamarekani (Republicans) kuanzisha Maandamano nchi nzima, Elon Musk atoa neno

Carlos The Jackal

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2017
Posts
25,725
Reaction score
78,589
Kwenye Mtandao wake wa Truth Social, Donald Trump kapost hii habari.

IMG_20230318_172804_406.jpg

Wakati huoo huko Twitter, Elon Musk katoa neno.

IMG_20230318_173209_946.jpg

Democrats hawana Tofauti na Msoga Gang kabisa.
 
Mwenye ufahamu na lugha ya bepari tafadhali, afanye uhamisho ije kwa kibantu...🤥
 
Babel mkuu, Mama wa Makahaba aliyeyalevya mataifa yote Kwa UKAHABA wake,

Ametabiriwa ataanguka Kwa maandamano tu!!!

Tusubiri.
 
Nilichojifunza Marekani kuwa wengi wana pesa kwa hiyo hawaogopani wala kujikomba komba kwa wenye pesa

Kiasi kuwa hata wenye pesa huhangaika kutafuta huruma na kick vyombo vya habari ili wananchi majority wawaonee huruma wakibanwa kwenye kona na bunge au mahakama au taasisi za umma kama za Rushwa au kodi

Wanalia lia kuomba huruma ya Public

Sasa hivi Trump na utajiri wake analia lia public imuonee huruma

Marekani shikamoo
 
Hapo ingekuwa TZ, ni mwendo wa order kutoka juu...ujinga mtupu.
 
Trump under arrest ahead of his arraignment hearings in NYC court !!!!
 
Nilichojifunza Marekani kuwa wengi wana pesa kwa hiyo hawaogopani wala kujikomba komba kwa wenye pesa

Kiasi kuwa hata wenye pesa huhangaika kutafuta huruma na kick vyombo vya habari ili wananchi majority wawaonee huruma wakibanwa kwenye kona na bunge au mahakama au taasisi za umma kama za Rushwa au kodi

Wanalia lia kuomba huruma ya Public

Sasa hivi Trump na utajiri wake analia lia public imuonee huruma

Marekani shikamoo
Ila haya!! Wacha tuone nini kitatokea.
 
Duuuh kumbe na U.S.A kuna wajaluo😅😅..Ok Raila apande chopa aende kumpatia mbinu za kuhama na vijiji vya huko
 
Donald Trump is already arraigned but nothing has happened.
IMG_20230404_215300_995.jpg
 
Donald Trump is already arraigned but nothing has happened. View attachment 2576641
These guys if they want to prevent Trump from 2024 presidential elections, they will cause a national civil war. Hope they have forgotten the 1st civil war in America which happened during 1861-1865 btn North & South contoversy.
 
Back
Top Bottom