Mzalendo Uchwara
JF-Expert Member
- Jan 26, 2020
- 4,437
- 13,836
Trump hatokuja awe rais wa Marekani, kamwe!
Ikishindikana kumdhibiti kwa kesi basi atauawa, jamaa hana akili.
Alishindwa kuielewa sera ya mambo ya nje ya Marekani ambayo rais yeyote akiingia lazima aifuate. Yeye kaleta ujuaji na kuhatarisha maslahi ya Marekani. Hawawezi kumwacha.