Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 25,725
- 78,589
Wakija watakushambulia 🤣🤣Acha wapenda ushoga watolewe
Ndo Dunia yetu hii sasaDuh aiseee
Alafu kisa Sasa, Et Trump alimuhonga Kahaba Mmoja PesaDuh aiseee
Acha wapenda ushoga watolewe
Alafu kisa Sasa, Et Trump alimuhonga Kahaba Mmoja Pesa
Wee gugo ulete hapa sababu unayoijua.Si kweli
Nenda ka google
Hapo ingekuwa TZ, ni mwendo wa order kutoka juu...ujinga mtupu.Nilichojifunza Marekani kuwa wengi wana pesa kwa hiyo hawaogopani wala kujikomba komba kwa wenye pesa
Kiasi kuwa hata wenye pesa huhangaika kutafuta huruma na kick vyombo vya habari ili wananchi majority wawaonee huruma wakibanwa kwenye kona na bunge au mahakama au taasisi za umma kama za Rushwa au kodi
Wanalia lia kuomba huruma ya Public
Sasa hivi Trump na utajiri wake analia lia public imuonee huruma
Marekani shikamoo
Ila haya!! Wacha tuone nini kitatokea.Nilichojifunza Marekani kuwa wengi wana pesa kwa hiyo hawaogopani wala kujikomba komba kwa wenye pesa
Kiasi kuwa hata wenye pesa huhangaika kutafuta huruma na kick vyombo vya habari ili wananchi majority wawaonee huruma wakibanwa kwenye kona na bunge au mahakama au taasisi za umma kama za Rushwa au kodi
Wanalia lia kuomba huruma ya Public
Sasa hivi Trump na utajiri wake analia lia public imuonee huruma
Marekani shikamoo
These guys if they want to prevent Trump from 2024 presidential elections, they will cause a national civil war. Hope they have forgotten the 1st civil war in America which happened during 1861-1865 btn North & South contoversy.Donald Trump is already arraigned but nothing has happened. View attachment 2576641