Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwa sheria gani acha uongo we JAFAR hukumbuki mrema alishindwa uraisi 1995 na akagombea ubunge kupitia uchaguzi mdogo na kushinda kupitia jimbo la TEMEKE
hapo zamani za kale ....palitokea......NCCR-MAGEUZI....ilivuma kuliko upepo wa kimbunga.......!
yes he can get the chance but it must be amongs the 10 reserved chances given to the president to select mp in his willing so if jakaya wishes to include slaaaa then atarudi mjengoniiiiii.viti maalum hawezi kupata sababu majina walishayapendekeza wenyewe chadema na tayari wameshayapeleka
members pls i need ur political inteligence......... can he get nominated in the special seats?
Kwa mtazamo wangu mimi nadhani ni vizuri Slaa akabaki katibu mkuu wa chama kwa ajili ya kukijenga chama, kuhakikisha chama kinatanuka kufika sehemu nyingi za bara na visiwani, hili ni jambo la muhimu sana na litatusaidia sana kuwa na chama imara.
Kazi hii ni nzito sana, na pia akiwa nje still tuna vichwa vya kutosha sana bungeni sioni kama kutaharibika kitu. We need to build a strong CHADEMA.