jiwekuu770
JF-Expert Member
- Feb 12, 2015
- 2,246
- 1,645
DRC ni moja ya nchi zilizopo Ukanda wa maziwa makuu!!
Nchi hii imefanikiwa kujiunga na EAC hivi punde baada ya kupewa uanachama hapo 22Novermber 2021
Aidha uamuzi huo umekuja baada na timu ya EAC kwenda DRC kujiridhisha na utimilifu wa vigezo hapo 26june had 5 july
KIFUATACHO
-Itakua n miongoni mwa wanachama ikikamilisha mwanachama wa 7
-Itashare passport moja ya East africa passport
-Wananchi wake hawatahitaj visa kuingia uganda na rwanda
-wafanya biashara na wananchi watafaidika na free movement katka nchi wanachama
UTATA
-Je, DRC itaweza kusolve suala la usalama linaloikabili?
-Je, Rwanda na Uganda bado zitaendelea kufanya uasi DRC kwa nchi mwanachama?
-Jumuiya itafanikiwa kuwasambaratisha wanaasi wa ADF ambao watakua wanamadhara kwene umoja wa nchi wanachama?