Je Dudu baya amewahi toa msaada Gani/ kumchangia mtu

Labani og

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
23,040
Reaction score
33,028
Daaah naona mwamba hayuko sawa baada ya kwenda kutibiwa India anamchukia Kila mtu .....Kwa sababu hakuchangiwa ......na saizi anaona Kila mtu aliye mbele yake ni adui πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Je yeye amewahi toa msaada Gani

Nb Dudu baya, yu bela wochi yua backπŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kumbuka huyu alikuwa na kundi linaitwa Dar Skendo Halla na wasanii wake wakina Dogo Hamidu yeye ndio aliyewabeba na kuwatoa, kwahiyo unavoandika mambo ya kumshambulia mtu jaribu kujua background yake.

Halafu huwezi ukawa shabiki wa Diamond au Kiba halafu unapuuza na kaandika mipasho kama hii ya kuwaponda waliochonga barabara
 
He bela wochi his baki
 
Dudu hakuomba kuchangiwa,
Sio vibaya akiwa proud kua alijisafirisha na kutibiwa kwa gharama zake yeye mwenyewe,

Kama angechangiwa si ajabu hata wewe ungemfungulia uzi hapa wa kumsimanga kama mnavyo wasimanga wasanii wengine wanapochangiwa matibabu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…