Ni mwecheche bro..Mwenzake Mr nice anabonga tu kiswahili kwa lafudhi ya Kenya juu amesettle in Nairobi. Surely kukuwa ni ile kitu muzuri, yaani mpaka Godfrey Tumaini anamwone wivu hadi inakuwa ngori!
Kumbe na shule anayo!!Nikashangagaa jinsi anavyoweza kujenga hoja basi ni leo nimeamini.Ze Dudu msukuma halisi mkatoliki mseminari.
Kasoma seminary hadi six akaingia kwenye muziki.
Wimbo wake mmoja kauweka tune za nyimbo za katoliki.
Farid Kubanda (Did Q), Dudu baya(Mamba), Joseph Haule (Kumbe na shule anayo!!Nikashangagaa jinsi anavyoweza kujenga hoja basi ni leo nimeamini.
Naam!Ni mwecheche bro..
Ni sawa alichonga barabara ya kina dogo hamidu, was it necessary kwa yeye kuanza kulalama pale na kutoa matusi jukwaani badala ya kutumbuiza? Kwa umri wake yuko sahihi jinsi anabehave? Asubuhi yake si akasema alidhamiria kuharibu show? Hata kama alikuwa dhahabu wakati ule saivi anaonekana mavi mavi tu ya kale kayafuta kwa upumbavu anaoufanya saiviKumbuka huyu alikuwa na kundi linaitwa Dar Skendo Halla na wasanii wake wakina Dogo Hamidu yeye ndio aliyewabeba na kuwatoa, kwahiyo unavoandika mambo ya kumshambulia mtu jaribu kujua background yake.
Halafu huwezi ukawa shabiki wa Diamond au Kiba halafu unapuuza na kaandika mipasho kama hii ya kuwaponda waliochonga barabara
Noma sana hiyo simulizi mwishoni kule Kuna jamaa wana waabudu watu na kuwaogopa Kwa kudhani kwamba ni malaika kisa tu wana miliki gobole sijui bunduki ππ€£Mkuu usiogope kutaja jina la Makumazan.
Kalitoa kwenye kitabu Cha "Machimo ya Mfalme Suleiman".
The Mines of King Solomon.
Humo wapo akina Mchawi Gagula, Alan Quartermain na wengine.
πππYu bella watch ur baki
Hivi atapona atakaa sawa kweli??maana anatetemeka,hana nguvu,zaman alikuwa balaa mwili jumba na nguvuu nyingiiDudu baya watu wanamkubali sana, nikiwepo na mimi...
Tumuombee mwana akae sawa