Hiki sicho ulichoandika,Nchi inakuaje pesa ya mtu? Kwa nini usiwe na Nguvu wakati pesa inakusanya wewe ndio unamlipa?
Kuna shida gani nikipokea pesa? Unadhani manunuzi ya madege huko Boeng watu hawakupata Cha Juu?Hiki sicho ulichoandika,
Comment yangu ilihusu wewe kupokea pesa ili utoe mradi wa barabara huko TANROAD kwenu
Daah nchi ngumu sana hii,Kuna shida gani nikipokea pesa? Unadhani manunuzi ya madege huko Boeng watu hawakupata Cha Juu?
Wala siichukii,naunga mkono hoja.Kwenye ujenzi huwezi kosa hela ya majiDaah nchi ngumu sana hii,
Kwahiyo ndio maana unaichukia PPP inakunyima chochote kwenye barabara zako?
Sawa bwana mabarabara ya lami endelea kukusanya za maji😆😆Wala siichukii,naunga mkono hoja.Kwenye ujenzi huwezi kosa hela ya maji
Umeongea point sana mkuu PPP haina kituWala siichukii,naunga mkono hoja.Kwenye ujenzi huwezi kosa hela ya maji
Hujui kitu weweUmeongea point sana mkuu PPP haina kitu
Dondosha facts mkuuHujui kitu wewe
CHADEMA mnaota uchaguzi tuuuuZilongwa Mbali
Zitendwa Mbali
Mchawi Wa Mapambano Dhidi Ya Rushwa Tanzania Ni Kijani
Tazama Sasa Hivi Huu Uchaguzi Wa November
na Mwakani Ndiyo Utajua
Kwahio kama TTCL haifanyi kazi tuibinafsishe au tuhakikishe inafanya kazi ?Hofu yako ni Nini hapo?
Mimi nimeelewa hapo kwenye AATCL na TTCL wewe unasemaje?
Mkuu nimepitia nyuzi zako naona umekuwa mpinzani mkubwa wa PPP hoja zako za msingi kabisa ni zipi?Kwahio kama TTCL haifanyi kazi tuibinafsishe au tuhakikishe inafanya kazi ?
Sakata la Bundles - Suluhisho
Kutokana na Mvutano uliopo kati ya Serikali, Watoa Huduma na Wananchi kuhusu Bundles na Shutuma za Wizi inabidi sisi wananchi tuelewe tunataka nini na Wizi ni nini? Issue za Wizi: Kama kuna issue za Wizi na mtu kaibiwa kuna vyombo vya kisheria na TCRA inabidi mwananchi aweze kupeleka issue zake...www.jamiiforums.com
PPP's / UBIA sio jambo Jipya Nchini; Wakati tunaingia mazima mazima ni Vema tukaangalia na Matokeo ya huko Nyuma
Binafsi ni Muumini wa Ushindani; ingawa kwenye Huduma ni Vema UMMA ukawa na Umiliki na kama inawezekana UMMA huo ushindane kwenye Soko Huria na Watu Binafsi..., Na Sekta hizo ambazo UMMA ni vema kuwa na UMILIKI ni NISHATI (TANESCO), USAFIRI, MAKAZI (NHC); BANKING na kwa sasa MAWASILIANO (kupitia...www.jamiiforums.com
Mkuu PPP ya Magungo Kafulila kwanini isijenge barabara ya Itigi kambi katoto Chunya ?PPP haina tofauti na ule Mkataba wa Mangungo wa Msovero 😄
Yaani umepitia Nyuzi zangu alafu haujaona Hoja zangu za msingi kuhusu PPP ni zipi ?Mkuu nimepitia nyuzi zako naona umekuwa mpinzani mkubwa wa PPP hoja zako za msingi kabisa ni zipi?
Mbona kama unatisha watu ndg yangu kuhusu hiyo PPP?Yaani umepitia Nyuzi zangu alafu haujaona Hoja zangu za msingi kuhusu PPP ni zipi ?
Je umepitia hii
Why Public Private Partnership Dont Work (The other Side of the Story)
Wakati tunapigia chepuo hii PPP's kwamba ndio magic wand nimeona nilete pdf hapa (report by David Hall) ambayo kwa hoja za mwandishi ni kwamba PPP's zimegubikwa na sintofahamu za kutosha na loopholes za Upigaji na kwa nchi kama yetu ya mafisadi huenda hii ikawa ni kuongezea watu mirija ya...www.jamiiforums.com
Pia umecheki ambazo naongelea PPPs za kufanya....
- Although PPPs are often promoted as a solution for countries under fiscal constraints, the evidence suggests rather that they worsen fiscal problems. According to the EIB, the six countries which have made the greatest use of PPPs in recent years are Cyprus, Greece, Ireland, Portugal, Spain and the UK. Four of these are subject to ‘Troika’ rescue packages, and the other two – Spain and the UK – both face large fiscal problems. In both Portugal and Cyprus, the IMF/EU ‘troika’ packages have identified PPPs as a contributory cause of the countries’ fiscal problems, and required an audit and renegotiation of existing PPPs and a freeze on new PPPs. 11 (see case study) In Latin America, PPPs are also concentrated in very few countries. Brazil and Mexico account for 65 per cent of all PPPs; Colombia, Peru, and Chile account for a further 15 per cent.
- A further danger is the recent effort by the World Bank,the G20, OECD and others to ‘financialize’ PPPs in order to access the trillions of dollars held by pension funds,insurance companies and other institutional investors.
- PPPs originated as an accounting trick, a way round the government’s own constraints on public borrowing. This remains the overwhelming attraction for governments and international institutions. Just as companies like Enron had tried to conceal their true liabilities by moving them‘off-balance-sheet’, so governments started using PPPs as “tricks…. whereby public accounts imitate the creative accounting of some companies in the past.”
- “In developing countries, the development banks and multinational companies encouraged the spread of PPPs in the 1990s, especially in the water and energy sectors, as part of the general promotion of privatisation – and as a way around the fiscal limits which the same IFIs were imposing on developing countries. The main form of privatisation in water was concessions or lease contracts, which are a classic form of PPP.”
- Governments have also started providing subsidies for PPPs, mainly by lending public money at low rates of interest that the private sector could not otherwise obtain – despite the obvious intrinsic contradiction of using public finance to finance PPPs.
Wazo huru: PPP's ya Tanesco na wamiliki wa nyumba Tanzania (133.2 gigawatts)
Nishati ni muhimu sana katika Nchi na Tanzania kama nchi ya kitropiki imebarikiwa kuwe na Jua la kutosha ukiunganisha na vyanzo vingine vingi, vilevile kutokana na Vyanzo vya Maporomoko Nishati ya Jua inaweza ikaunganishwa na Maporomoko ya Maji ili kutengeneza battery ya kutunzia Nishati...www.jamiiforums.com
Nishati Safi ya Kupikia (PPP tunayohitaji Kuingia)
Private Public Partnership inafaa pale tu ambapo kuna mtu binafsi ana kitu ambacho serikali haiwezi kufanya, au anaweza kukifanya kwa ubora; Win Win Situation. Sasa katika Suala la Nishati Safi ya Kupikia kuna majiko ya kisasa ya Induction Cooker ambayo yana ufanisi wa percent 90; Yana Ufanisi...www.jamiiforums.com
Uwekezaji TEMESA (PPPs) kama Watanzania tuwekeze hata kwa Ushauri
Baada ya kuona tunaitwa kuwekeza kwa UBIA kwenye VIVUKO; nikaingia kwenye TOVUTI yao kuona hawa jamaa wanafanya nini katika Huduma ya VIVUKO Home | TEMESA Sehemu ya Uendeshaji na Usalama wa Vivuko Sehemu hii itafanya shughuli zifuatazo: (i) Kuandaa mpango kazi wa muda mrefu na muda mfupi kwa...www.jamiiforums.com
PPP's Kujenga Mabweni/Hostel: What am I Missing?
Nimesikia CBE wamekuja na Template ya kuwa na Public Private Partnership kujenga Mabweni na Kujinasibu kwamba wamekuja na kitu bora na hadi kupeana zawadi ya kufanikisha hicho kitu..., Sasa najiuliza je jambo hili ni geni au lina tofauti zipi na kama tofauti zipo Je zitakuwa na tija... Watu...www.jamiiforums.com
Kwanza kabisa Mimi ninaonyesha the other side with facts tena ungenishukuru kuliko anayekwambia kwamba everything is Kosher lakini mbeleni kuna shida ndio mbaya bora mimi ninayesema huku na huku walifanya na kilichotokea kilikuwa hakina Tija... Kwahio Dialogue iwe ni vipi sisi tutafanya kile kile na mambo yawe chanya...Mbona kama unitisha watu ndg yangu?
Natamani ungeilezee hii PPP katika dhana ya kulisaidia Taifa,Kwanza kabisa Mimi ninaonyesha the other side with facts tena ungenishukuru kuliko anayekwambia kwamba everything is Kosher lakini mbeleni kuna shida ndio mbaya bora mimi ninayesema huku na huku walifanya na kilichotokea kilikuwa hakina Tija... Kwahio Dialogue iwe ni vipi sisi tutafanya kile kile na mambo yawe chanya...
Vilevile inabidi tujiulize je ni lazima tuingie hizi partnerships kwa vitu ambavyo tunaweza kufanya.., kwanini wao wasifanye na sisi tusifanye kwenye uwanja wa competition..., Umeongelea TTCL sasa kwanini Serikali na TCRA iingilie biashara za watu binafsi na kuwapangia bei ya Bundle kwanini wao wasiwe shamba darasa kufanya kile wanachosema ?!!!!
Ubia ni aina tu ya Umiliki wa Miradi ya Uwekezaji😆😆Kunatofauti kubwa kati ya Uwekezaji na Ubia,
Tofauti mojawapo,
Mwekezaji qnalimiki kila kitu ila anatakiwa kuleta gawio tu baada ya kutangaza faida but Ubia wote kwa pamoja mnakuwepo kwenye operation za siku kwa siku.🙂🙂