Je, dunia inahama kutoka kutumia TAKUKURU kupambana na rushwa na Ufisadi kwenye miradi ya Serikali mpaka kuitumia PPP, is this also a New World Order?

Zilongwa Mbali
Zitendwa Mbali
Mchawi Wa Mapambano Dhidi Ya Rushwa Tanzania Ni Kijani
Tazama Sasa Hivi Huu Uchaguzi Wa November
na Mwakani Ndiyo Utajua
 
Hofu yako ni Nini hapo?
Mimi nimeelewa hapo kwenye AATCL na TTCL wewe unasemaje?
Kwahio kama TTCL haifanyi kazi tuibinafsishe au tuhakikishe inafanya kazi ?

Mkuu nimepitia nyuzi zako naona umekuwa mpinzani mkubwa wa PPP hoja zako za msingi kabisa ni zipi?
 
Yaani umepitia Nyuzi zangu alafu haujaona Hoja zangu za msingi kuhusu PPP ni zipi ?
Je umepitia hii

  • Although PPPs are often promoted as a solution for countries under fiscal constraints, the evidence suggests rather that they worsen fiscal problems. According to the EIB, the six countries which have made the greatest use of PPPs in recent years are Cyprus, Greece, Ireland, Portugal, Spain and the UK. Four of these are subject to ‘Troika’ rescue packages, and the other two – Spain and the UK – both face large fiscal problems. In both Portugal and Cyprus, the IMF/EU ‘troika’ packages have identified PPPs as a contributory cause of the countries’ fiscal problems, and required an audit and renegotiation of existing PPPs and a freeze on new PPPs. 11 (see case study) In Latin America, PPPs are also concentrated in very few countries. Brazil and Mexico account for 65 per cent of all PPPs; Colombia, Peru, and Chile account for a further 15 per cent.
  • A further danger is the recent effort by the World Bank,the G20, OECD and others to ‘financialize’ PPPs in order to access the trillions of dollars held by pension funds,insurance companies and other institutional investors.
  • PPPs originated as an accounting trick, a way round the government’s own constraints on public borrowing. This remains the overwhelming attraction for governments and international institutions. Just as companies like Enron had tried to conceal their true liabilities by moving them‘off-balance-sheet’, so governments started using PPPs as “tricks…. whereby public accounts imitate the creative accounting of some companies in the past.”
  • “In developing countries, the development banks and multinational companies encouraged the spread of PPPs in the 1990s, especially in the water and energy sectors, as part of the general promotion of privatisation – and as a way around the fiscal limits which the same IFIs were imposing on developing countries. The main form of privatisation in water was concessions or lease contracts, which are a classic form of PPP.”
  • Governments have also started providing subsidies for PPPs, mainly by lending public money at low rates of interest that the private sector could not otherwise obtain – despite the obvious intrinsic contradiction of using public finance to finance PPPs.
Pia umecheki ambazo naongelea PPPs za kufanya....

Mbona kama unatisha watu ndg yangu kuhusu hiyo PPP?
 
Mbona kama unitisha watu ndg yangu?
Kwanza kabisa Mimi ninaonyesha the other side with facts tena ungenishukuru kuliko anayekwambia kwamba everything is Kosher lakini mbeleni kuna shida ndio mbaya bora mimi ninayesema huku na huku walifanya na kilichotokea kilikuwa hakina Tija... Kwahio Dialogue iwe ni vipi sisi tutafanya kile kile na mambo yawe chanya...

Vilevile inabidi tujiulize je ni lazima tuingie hizi partnerships kwa vitu ambavyo tunaweza kufanya.., kwanini wao wasifanye na sisi tusifanye kwenye uwanja wa competition..., Umeongelea TTCL sasa kwanini Serikali na TCRA iingilie biashara za watu binafsi na kuwapangia bei ya Bundle kwanini wao wasiwe shamba darasa kufanya kile wanachosema ?!!!!
 
Natamani ungeilezee hii PPP katika dhana ya kulisaidia Taifa,
Tatizo sio sisi tunashindwa hapana ila tunataka Serikali ibaki na mambo machache yakufanya
 
😆😆Kunatofauti kubwa kati ya Uwekezaji na Ubia,

Tofauti mojawapo,

Mwekezaji qnalimiki kila kitu ila anatakiwa kuleta gawio tu baada ya kutangaza faida but Ubia wote kwa pamoja mnakuwepo kwenye operation za siku kwa siku.🙂🙂
Ubia ni aina tu ya Umiliki wa Miradi ya Uwekezaji

Ni Commerce ya kidato Cha pili tu 🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom