Je, dunia inahama kutoka kutumia TAKUKURU kupambana na rushwa na Ufisadi kwenye miradi ya Serikali mpaka kuitumia PPP, is this also a New World Order?

Natamani ungeilezee hii PPP katika dhana ya kulisaidia Taifa,
Tatizo sio sisi tunashindwa hapana ila tunataka Serikali ibaki na mambo machache yakufanya
Kuna Vitu ambavyo UMMA hauwezi kufanya kwa Ufanisi mfano kama Usafiri wa mwendo kasi it makes sense kuingia labda UBIA na TATA (Sababu they have technical know how na experience kwenye magari) it may make sense kuliko kuyafanyia service mdau wenu (i.e. TATA anafanya...)

Sasa unakuta huko Kenya eti wanataka kumpa ADANI PPP kuendesha Airport for 30 Years (Pesa nyingi ilishakusanywa kufanya jambo kama hili) ukiuliza wao wanasema hawawezi Sasa ADANI aliwezaje (Ukifuatilia miaka iliyopita ADANI alipewa Airport Sita za India bila experience yoyote tena wakaondoa kigezo cha kusema kwamba anayepewa lazima awe na Experience) Huenda hio ni kwasababu Bwana Adani na Prime Minister Modi ni washikaji..., Ingawa mimi kwenye suala la airport hapa ningesema serikali itoe tender kwa watu tofauti ku rent na kuendesha vitu tofauti mfano maduka, mizigo n.k. (short term leases tena kwa ushindani na airports nyingine)..., Tukiongelea PPPs ambazo naona zina faida kwa nchi nimeshasema kitambo...


 
Na Hasara ikitokea ni Mlipa Kodi ndio anafidia hio Hasara... Na ndio hapo Upigaji unapoingia yaani kama Ingekuwa ni PPPs ya Kodi zetu UMMA na sio NSSF (Pesa ya Pensheni za Watu) ule mradi wa DEGE ECO Village ungekuwa umekula pesa zetu kadhaa....; Na mwisho wa siku watu kununua ile prime area na ardhi kwa bei chee...
 
Nguvu ya kumiliki uchumi wetu ipo?
Hata huo mfumo wa kitaifa wa uchumi upo kweli, ambao hata akija Rais yoyote ile hawezi kuuchezea?

We consume what we do not produce

Kuna makampuni mengi sana nchini yanayo zalisha bidhaa na kutuuzia bidhaa kutoka kwao matokeo yake ndiyo zanazitawala biashara

Swali fikirishi hao mnao wahamasisha kwaajili ya private partnership ni wakina nani kama ni wa huko nje someni kuhusu neocolonialism
 
Uchumi wetu una watu wachache sana walio daraja la kwanza
 
PPP itaongeza kujali na kutunza miradi hiyo maana wabathirifu wanachukuaga mali za umma bila huruma wakichukulia ni mali ya umma hakuna wa kumfuatilia.
 
Mtani Kuna kitu unajua ila namna unavyowasilisha tu
 
Mtani Kuna kitu unajua ila namna unavyowasilisha tu
πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡

My Take: ANAYEPINGA PPP NI YULE TU ASIYEELEWA FAIDA ZAKE AU NI MPIGAJI KWA ASILI.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…