Logikos
JF-Expert Member
- Feb 26, 2014
- 15,460
- 24,233
Kuna Vitu ambavyo UMMA hauwezi kufanya kwa Ufanisi mfano kama Usafiri wa mwendo kasi it makes sense kuingia labda UBIA na TATA (Sababu they have technical know how na experience kwenye magari) it may make sense kuliko kuyafanyia service mdau wenu (i.e. TATA anafanya...)Natamani ungeilezee hii PPP katika dhana ya kulisaidia Taifa,
Tatizo sio sisi tunashindwa hapana ila tunataka Serikali ibaki na mambo machache yakufanya
Sasa unakuta huko Kenya eti wanataka kumpa ADANI PPP kuendesha Airport for 30 Years (Pesa nyingi ilishakusanywa kufanya jambo kama hili) ukiuliza wao wanasema hawawezi Sasa ADANI aliwezaje (Ukifuatilia miaka iliyopita ADANI alipewa Airport Sita za India bila experience yoyote tena wakaondoa kigezo cha kusema kwamba anayepewa lazima awe na Experience) Huenda hio ni kwasababu Bwana Adani na Prime Minister Modi ni washikaji..., Ingawa mimi kwenye suala la airport hapa ningesema serikali itoe tender kwa watu tofauti ku rent na kuendesha vitu tofauti mfano maduka, mizigo n.k. (short term leases tena kwa ushindani na airports nyingine)..., Tukiongelea PPPs ambazo naona zina faida kwa nchi nimeshasema kitambo...
Wazo huru: PPP's ya Tanesco na wamiliki wa nyumba Tanzania (133.2 gigawatts)
Nishati ni muhimu sana katika Nchi na Tanzania kama nchi ya kitropiki imebarikiwa kuwe na Jua la kutosha ukiunganisha na vyanzo vingine vingi, vilevile kutokana na Vyanzo vya Maporomoko Nishati ya Jua inaweza ikaunganishwa na Maporomoko ya Maji ili kutengeneza battery ya kutunzia Nishati...
Nishati Safi ya Kupikia (PPP tunayohitaji Kuingia)
Private Public Partnership inafaa pale tu ambapo kuna mtu binafsi ana kitu ambacho serikali haiwezi kufanya, au anaweza kukifanya kwa ubora; Win Win Situation. Sasa katika Suala la Nishati Safi ya Kupikia kuna majiko ya kisasa ya Induction Cooker ambayo yana ufanisi wa percent 90; Yana Ufanisi...