Je, dunia inahama kutoka kutumia TAKUKURU kupambana na rushwa na Ufisadi kwenye miradi ya Serikali mpaka kuitumia PPP, is this also a New World Order?

PPP is not a new concept…. Nk very old concept

Na hata huko rushwa zipo tu… tena mbaya zaidi kutoka na na inflation ya figures z investment na maafisa wa umma kukinga mikono kupokea bakshishi na shares z vificho

Tusijitoe fahamu na kudhani we are having something new
 
Usiamini wezi wa kura na ndio serikali iliyopo madarakani, tutakuja na kila a Iona ya plan nzuri kuliko za nchi tajiri lakini ugoro wa CCM hautatuacha salama
Tujiulize kwanini tunachaguliwa viongozi, pia tujiulize kwanini tunachagua viongozi wasio faa
 
Kwenye PPP rushwa unamuibia nani?

Kama utanipa kazi ya kujenga barabara ya PPP lazima pesa iwe yangu na mradi ni wangu unapiga pigaje hapo?
 
Kwenye PPP rushwa unamuibia nani?

Kama utanipa kazi ya kujenga barabara ya PPP lazima pesa iwe yangu na mradi ni wangu unapiga pigaje hapo?
Usitake tuseme sana

Udalali unaoendelea humo ni too much

Niache nisiseme sana… MABROKER ARE BUSY
 
Habari za Leo bwana Kafulila upo ndugu yangu Tumbiri. Naona kila uchao unajipiga promo mara wewe ni presidential material mara prime minister sasa naona upo kimkakati chako Cha kizamaani kujifanya ni people elect kumbe ni wewe mwenyewe hahahahh
 
Kwanini na wewe usijipigie promo mkuu, Hapo Kuna sehemu Kafulila kaongea chochote?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…