Benny Haraba
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 13,336
- 12,370
Je gharama zake zikoje, je kama ni diliUnaweza vizuri sana hii tena Kuna vipimo kabisa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Je gharama zake zikoje, je kama ni diliUnaweza vizuri sana hii tena Kuna vipimo kabisa
Ni affordable sanaJe gharama zake zikoje, je kama ni dili
Hiyo Sasa siasa Mimi sio mtaalam sana wa siasa zenu hapo BongoUsiamini wezi wa kura na ndio serikali iliyopo madarakani, tutakuja na kila a Iona ya plan nzuri kuliko za nchi tajiri lakini ugoro wa CCM hautatuacha salama
Tatizo CCM wanawaweka wajinga kwenye nyazifa muhimu, (unyumbu wa kisiasa)Usiamini wezi wa kura na ndio serikali iliyopo madarakani, tutakuja na kila a Iona ya plan nzuri kuliko za nchi tajiri lakini ugoro wa CCM hautatuacha salama
Jaribu kujitengenezea changamoto, (create uncertainty scenario), halafu tafuta ufumbuzi, wa namna ya kukabiliana na hiyo changamoto, kama hutakutana na na za usoNyadhifa muhimu kama Nani?
PPP is not a new concept…. Nk very old conceptDunia iko Kasi sana.
Wakati Tanzania na Watanzania kwa gharama kubwa tukiendelea kujiimarisha kifedha, kitaasisi na kirasimali watu ili kupambana na rushwa na Ufisadi kwenye baadhi ya miradi na taasisi zetu mbalimbali dunia inaondoka kwa Kasi kwenye
My Take: ANAYEPINGA PPP NI YULE TU ASIYEELEWA FAIDA ZAKE AU NI MPIGAJI KWA ASILI.
Take Five,
Tujiulize kwanini tunachaguliwa viongozi, pia tujiulize kwanini tunachagua viongozi wasio faaUsiamini wezi wa kura na ndio serikali iliyopo madarakani, tutakuja na kila a Iona ya plan nzuri kuliko za nchi tajiri lakini ugoro wa CCM hautatuacha salama
Kwenye PPP rushwa unamuibia nani?PPP is not a new concept…. Nk very old concept
Na hata huko rushwa zipo tu… tena mbaya zaidi kutoka na na inflation ya figures z investment na maafisa wa umma kukinga mikono kupokea bakshishi na shares z vificho
Tusijitoe fahamu na kudhani we are having something new
Usitake tuseme sanaKwenye PPP rushwa unamuibia nani?
Kama utanipa kazi ya kujenga barabara ya PPP lazima pesa iwe yangu na mradi ni wangu unapiga pigaje hapo?
Wanao ahirisha kufikiri kizalendoWasiofaa wanakuwaje Viongozi?
Mwenge unapumbaza akili za watu.Mungu ibariki Tanzania ipate watu wenye akili hata kidogo jamani.
Habari za Leo bwana Kafulila upo ndugu yangu Tumbiri. Naona kila uchao unajipiga promo mara wewe ni presidential material mara prime minister sasa naona upo kimkakati chako Cha kizamaani kujifanya ni people elect kumbe ni wewe mwenyewe hahahahhDunia iko Kasi sana.
Wakati Tanzania na Watanzania kwa gharama kubwa tukiendelea kujiimarisha kifedha, kitaasisi na kirasimali watu ili kupambana na rushwa na Ufisadi kwenye baadhi ya miradi na taasisi zetu mbalimbali dunia inaondoka kwa Kasi kwenye mifumo hii na kwenda kwenye mfumo wa Private and Public Partnership project yaani PPP.
Wakati PPP Tanzania ikichukuliwa kama chanzo Cha Upigaji wa Mali za Umma wa Watanzania huko duniani PPP ndio kama TAKUKURU ya Tanzania, hapa kama nchi mnaweza mkaelewa umuhimu wa PPP ulivyo mkubwa kwa mustakabali wetu na ule wa watoto wa watoto wetu.
Tangu PPP Tanzania ipate Director mpya ambae ni mzalendo na kinara wa kupinga Rushwa na Ufisadi nchini Bw David Kafulila nilielewa kabisa dhamira ya Rais Samia sasa inafanana na ile ya Marais wengine wajanja duniani waliyoigeuza PPP kama njia mojawapo ya kupambana na rushwa, Uzembe, matumizi mabaya ya fedha za Umma, Ufisadi, Utekelezaji wa chini ya kiwango wa miradi ya Serikali na mengine mengi,
Kuna kitu Watanzania sijui kama wanakifahamu vema,
Hivi Watanzania tunafahamu kila mwaka tunalipa Kodi ili ziende kuendesha denge zetu za Air Tanzania au shrikika letu la simu TTCL? kama huelewi nenda kasome ripoti za CAG,
Natamani kuona siku moja miradi yote ya Serikali inayoiletea Serikali yetu hasara iendeshwe kwa Ubia ili hata kama hatutapata faida ila tusitoe Kodi zetu walala hoi kuzipeleka kuendeshea miradi ambayo inasura ya kibiashara.
Mfano, Leo Mchina atakayejenga njia 10 za kulipia Dar es salaam na akapewa may be miaka 30 ya mkataba maana yake barabara zitakazojengwa na wachina hawa zitakuwa na ubora wa kutumika zaidi ya Miaka 30 tofauti na barabara zinazojengwa na kuharibika kila baada ya miaka miwili Mitatu huku Serikali ikitumia Kodi zetu kuzifanyia marekebisho.
My Take: ANAYEPINGA PPP NI YULE TU ASIYEELEWA FAIDA ZAKE AU NI MPIGAJI KWA ASILI.
Take Five,
Kwanini na wewe usijipigie promo mkuu, Hapo Kuna sehemu Kafulila kaongea chochote?Habari za Leo bwana Kafulila upo ndugu yangu Tumbiri. Naona kila uchao unajipiga promo mara wewe ni presidential material mara prime minister sasa naona upo kimkakati chako Cha kizamaani kujifanya ni people elect kumbe ni wewe mwenyewe hahahahh