Je, dunia inahama kutoka kutumia TAKUKURU kupambana na rushwa na Ufisadi kwenye miradi ya Serikali mpaka kuitumia PPP, is this also a New World Order?

Kama PPP haina ulaji haiwezi kupendwa
 
Hakuna watu wanakula rushwa kama watu wa barabara, hii anzia juu mpaka chini ni upigaji tu, barabara kila mwaka kutengenezwa ,ngoja tuone na hizi za PPP
Ishu sio PPP, ishu ni standards. Je, ubora unaotakiwa ndio huo watakaojenga ama? Maana wachina wanakuwa na options kulingana na wewe utakavyo, wanaweza wakajenga sub standard ili wewe upate ganji yako as long as wamekula share yao halali.

Kwa nchi ambayo iko so corrupt kama yetu ni vigumu kuniaminisha kuwa hio PPP haitakuwa na element za janja janja na rushwa. Watu waliopo serikalini wengi wanatajirikia kwenye miradi kupitia hongo za 10% za fedha za miradi na overstating ya gharama ya ujenzi.
 
Hakuna kitu CCM watakipigia debe kama hakina maslahi kwao. Hio PPP tutakuja kupigwa kwa style ya pekee sana. Kwanza kwenye charges za kila siku kutumia hizo barabara tozo lazma serikali ile % na mwisho wa siku hio barabara itakuwa ya kulipiwa milele. Serikali haitataka kuiacha free hata baada ya miaka 30 ambapo mchina atakuwa kashavuta chake.

Other way round mchina anaweza kuja kuijenga na makaratasi yakasainiwa kumbe mmiliki wa barabara ni dogo Dullah. So wanafanikisha deal hilo tu nyie mnajua ubia ni wa wachina kumbe sinema imechezwa kama ya DP World tu. Kafulila anakula chake billion kadhaa kwa Promotion aliofanya.
 
If it was a good thing kingefanywa na Magufuli mapema tu. Alikuwa na uwezo wa kutumia hizo PPP kama zingekuwa na faida kwetu. Hapo nachokiona ni kiini macho tu, kuna mtu anatafuta namna ya kujipigia hela za walalahoi nchini kwa camouflage ya kuweka sura za wachina mbele.

Kwa ufisadi uliofanywa ndani ya miaka mitatu hii kuna viongozi hawakosi trillion dollars za ku fund hio PPP kisha wakaanza kula Tolls za hio barabara milele daima. Nyie mnadanganywa ni PPP wao wanaweka dirisha la makusanyo kama Kigamboni bridge wanakusanya maokoto tu.
 
Kama PPP haina ulaji haiwezi kupendwa
Inakosaje ulaji, nikupe mfano tu wa PPP ni kama Kigamboni bridge. Ile ni PPP baina ya serikali na Shirika lake la NSSF. Je, wewe unajua mpaka sasa daraja lile limekusanya bei gani?

Au kwa mwaka linaingiza shillingi ngapi kupitia Tozo za kuvuka pale. Hata hela ya kujenga itakaporudishwa yote NSSF hutakaa usikie tozo zimeondolewa pale kwa kisingizio cha maintanance japo serikali ndio inawajibika kufanya maitanance.

Ilipaswa baada ya muda flani tozo ziondolewe watu wapite free sababu ile ni public asset inayotakiwa kutoa huduma freely kama ilivyo tu Tanzanite bridge ila kuna kikundi cha watu kitakuwa kinakula % pale darajani ndio maana hapataacha kukusanywa mapato.
 
Exactly, no old wine kwenye chupa mpya
 
Asingeruhusu kirahisi kwani madalali ndio wangebenefit zaidi
 
Nahisi huifahamu vizuri PPP,

Mtu anayekuja kujenga mradi wa PPP Serikali haiweki pesa yoyote,

Pili, Kama Mchina atajenga barabara zake kwa kiwango kibovu basi hasara atapata yeye,

Ubia maana yake ni kuitekeleza miradi yenye manufaa kwa Umma kwa pesa za wabia,

Serikali haitumii Senti yake ila inatoka eneo la miradi kwa Ubia,

Baadae terms za mradi zitakuwa setted,

Hakuna rushwa Kwakuwa anayekeleza mradi ndio mwenye mradi
 
Hiyo sio PPP 100% ndio maana unaona hayo,

PPP 100% Fedha ya Mradi si ya Mbia ,

Polepole mtaelewa tu
 
Njoo inbox nikufunde
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…