Je, dunia inahama kutoka kutumia TAKUKURU kupambana na rushwa na Ufisadi kwenye miradi ya Serikali mpaka kuitumia PPP, is this also a New World Order?

Haya ma thread ambayo Kafulila na wapambe wake wanayajaza humu yatakuja kumgharimu.

Kafulila alikuwa amefutika kwenye ramani. Kuna wazee wamemuombea kazi kwa Samia ndipo akateuliwa kuwa Kamishna wa PPP.

Lakini sasa Kafulila amekuwa KERO ametafuta wapambe na anawalipa kwa ajili ya kujionyesha kuwa eti ana akili nyingi.

Kafulila huna kitu, wewe ni wa kawaida saana. Acha tamaa, fanya kazi uliyopewa na ridhika na mshahara. Wanaokudanganya kuwa utarudi Bungeni hwakwambii UKWELI. Bungeni hurudi na ukithubutu kuchukua forms na ukashindwa ujuwe na PPP itakuwa imepotea
 
Kwenye hili nampa Rais Samia mia mia👏👏👏
 
Kwani huyu Kafulila anatekeleza sera za nani kama sio huyu aliyemteua?
Kafulila Mimi naona anajitahidi sana kuifanya PPP kuwa machine ya kuzalisha Ajira na liquidity kwa Taifa
 
Watu wanaopenda kuandika mambo ya new world order wana changamoto ya afya ya akili kama wale wasabato masalia walio taka kwenda kuhubiri injili Iraq wakati hawana tiketi ya ndege wakaishia uwanja wa ndege.
 
Watu wanaopenda kuandika mambo ya new world order wana changamoto ya afya ya akili kama wale wasabato masalia walio taka kwenda kuhubiri injili Iraq wakati hawana tiketi ya ndege wakaishia uwanja wa ndege.
Kwani New World Order ni Nini?
 
Nadhani kazi za Kafulila kila Mtanzania anaziona sijui kwanini uandike vtisho utadhani Kuna kitu kibaya kinafanywa na Kafulila,

Sidhani kama kuitangaza PPP kwenye media ni kosa kwa Mwajiri ninachoamini Kafulila kama tungekuwa serious angepashwa kujengewa mnara pale Posta.
 
Mimi kitu chochote ambacho kitaondoa upigaji kwa wachache Niko tayari kuunga mkono
 
Kazi gani za Kafulila alizofanya ambazo mtu mwingine hawezi kufanya?

Hivi unajuwa kuwa Kamishna wa PPP siyo Afisa Masuuri? Yaani mwenye maamuzi na kutoa direction ni Katibu Mkuu -Hazina.

Kafulila ni kidampa tu wala msiwapotoshe wasiojuwa mfumo wa wizara ya fedha
 
Sasa mambo ya Masurufu yanaingiaje hapa?
 
Kafulila sio Kamishna wa PPP kwasasa ambayo ni Idara ndani ya wizara ya Fedha. Ni Mkurugenzi wa Kituo cha Ubia Tanzania( PPP CENTRE) ambacho ni mamlaka kama zilivyo TCRA, TIC, EPZA nk hivyo ni mamlaka Kamili,

Mkurugenzi Mtendaji nijuavyo Mimi ni Accounting officer
 
PPT yenyewe, kupatikana kwa wawekezaji hao, rushwa inatumika! Sema PPT inapunguza mianya ya upigaji siyo kuondoa kabisa!
 
Kafulila Kuna kitu Kafanya Pale PPP tukubali tukatae maana nyie CHADEMA kila kitu mnapinga tu
 
Nahitaji kuifahamu vizuri zaidi hii PPP,mleta mada njooo kwanza na mada ya kuifafanua PPP
 
Hata wakulima waijuie PPP
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…