Je, elimu ni suala la Muungano au sio la muungano?

Je, elimu ni suala la Muungano au sio la muungano?

Sorry, niqoutie kifungu kinachosema hivyo katika katiba
Mambo ya Muungano yanapatikana mwishoni kabisa mwa katiba yetu katika nyongeza ya 2 utakuta Elimu ya Juu kama moja ya mambo ya Muungano(No. 14)
 
Ili kuwe na muungano lazima kuwe na nchi mbili, Hadi leo sijuagi Nyerere na akili zake zote alikubali vipi
Mimi nikiipitia katiba huwa nachoka nawaza huyu mzee na katiba ya namna hii alifikiria nini haswa? Yaani na legacy yake yote akatuachia katiba inayotengeneza madikteta, tena wakakayapa baraka ya kutofanywa kitu ( kuwa juu ya sheria) , katiba limeegemea upande mmoja wa Muungano, hapa mzee alituangusha sana?
 
Je, masula ya Elimu ni ya Muungano au sio ya Muungano? Na kama ni ya muungano yalianzishwa lini?
elimu ya msingi na sekondari haipo kwenye masuala ya muungano ila kwa elimu ya juu vyuo vikuu ipo chini ya muungano
 
Tofauti kati ya Tanganyika na Tanzania bara ni nini? Je, TANU kirefu chake nini? Muungano ulikuwa ASP ya Zanzibar na TANU ya wapi vile? Au unajisahaulisha kuwa Zanzibar ni Tanzania visiwani?
Shule mnafanyaga nini!?
 
Wizara ya Fedha ipo chini ya mpemba saivi, huu ni uwendawazimu kuikabidhi nchi na hazina yetu kwa wapemba halafu mkwe wake ashughulikie afya zetu na elimu yetu isimamiwe na mtoto wake 😆😆😆😆😆
 
Back
Top Bottom