Daah! Umeichmbua kiutaaalam sanaWizara ya Fedha ipo chini ya mpemba saivi, huu ni uwendawazimu kuikabidhi nchi na hazina yetu kwa wapemba halafu mkwe wake ashughulikie afya zetu na elimu yetu isimamiwe na mtoto wake πππππ
Reforms zinaitajika tena sana..Kuna haja ya reforms katika kipengere cha Muungano
Mwenyezi Mungu fundi wa kugeuza vitimbiReforms zinaitajika tena sana..
Tukae tu mungu ataleta jeshi kutoka mbinguni, yote yatakwisha...Mwenyezi Mungu fundi wa kugeuza vitimbi
Wewe unaingelea elimu tu.Je, masula ya Elimu ni ya Muungano au sio ya Muungano? Na kama ni ya muungano yalianzishwa lini?
Nadhani elimu msingi na ufundi standi sio ya muungano ila sekondari na vyuo ni mambo ya muungano ipo hivyo nadhani.Je, masula ya Elimu ni ya Muungano au sio ya Muungano? Na kama ni ya muungano yalianzishwa lini?
Nafikiri tutakuwa tumeungana kwenye NECTA tu.Je, masula ya Elimu ni ya Muungano au sio ya Muungano? Na kama ni ya muungano yalianzishwa lini?