Nikola24
JF-Expert Member
- Aug 26, 2024
- 222
- 517
Elon Musk, mtu tajiri zaidi duniàni siku za hivi karibuni amekuwa akifanya kazi pamoja na Rais Trump. Ukaribu wao unawatia watu wasiwasi hivyi kwamba baadhi ya wataalamu wanadai Serikali ya america inaongozwa na Elon Musk badala Trump.
Hilo halina shaka Elon musk anashauriana na Trump kuhusu maamuzi ya serikali.
Je Kuna uwezekano Elon Musk kuwa president ajae USA?
Kumbuka Elon Musk ni mzaliwa wa Afrika Kusini ila amenunua uraia wa Marekani.