The Mongolian Savage
JF-Expert Member
- Jul 5, 2018
- 8,082
- 17,838
Kitu kama hicho hakiwezi tokea. Elon anajifurahisha tu sasa hivi.Katiba ya Marekani inasema lazima mgombea awe amezaliwa Marekani lakini Musk anaweza kupindua hilo kwa kubadilisha katiba.
SI unajua nguvu ya hela