Sidhani, kwanza kabla miaka 3 kuisha watakuwa washatibuana.Elon musk,mtu tajiri zaidi duniàni siku za hivi karibuni amekuwa akifanya kazi pamoja na raisi Trump. Ukaribu wao unawatia watu wasiwas hivyi kwamba baadhi ya wataalamu wanadai serikali ya america inaongozwa na Elon Musk badala Trump.
Hilo halina shaka Elon musk anashauriana na Trump kuhusu maamuzi ya serikali.
Je Kuna uwezekano Elon Musk kuwa president ajae USA?
Kumbuka Elon musk ni mzaliwa wa afrika kusini ,ila amenunua uraia wa Marekani.
Marekani ya sasa hivi hilo sio jambo la ajabu.Katiba ya Marekani inasema lazima mgombea awe amezaliwa Marekani lakini Musk anaweza kupindua hilo kwa kubadilisha katiba.
SI unajua nguvu ya hela
Hoja yako Iko smart sana. Umetabiri kwa ubunifu nakubaliana nawe.Sidhani, kwanza kabla miaka 3 kuisha watakuwa washatibuana.
Elon ni opportunist, kama kitu hakimnufaishi anapiga sana kelele ndiyo maana uliona tu ule mpango wa kuwekeza 500 billion dollars kwenye data center alikuwa anaukandia kwa sababu tu yupo Sam Altman.
Hapo hapo anaishitaki Open AI akipinga kuwa profit organization, sasa kajichanganya juzi katangaza offer ya kuinunua na wamefile barua aliyowatumia ya offer mahakamani wakidai hoja zake zinaji contradict. Anawashitaki kwa kutaka kuwa for profit, hapo hapo anataka kuinunua ili naye aigeuze ya faida.
Conflict of interest, wakati akipita kila mahali kupunguza budget na mikataba mingine kufutwa, tesla imeuza magarii kwa serikali kwa deal lenye thamani ya milioni 400 dollars.
Naona anaingia na NASA kumbuka NASA hao hao wana deal na space x, wana deal na blue origin na makampuni mengine, sasa itakuwaje. Nachoona ni sawa na tanzania unayegombea naye ndiye mwenye uwezo wa kutangaza mshindi.
Kwa tamaa za Elon Musk lazima at some point watatibuana na Trump.
Hela ina mipaka Marekani, hiyo nchi ina q1zaidi ya miaka 200 na katika miaka yote hiyo vipengele vya katiba havijawahi badilishwa zaidi ya maraKatiba ya Marekani inasema lazima mgombea awe amezaliwa Marekani lakini Musk anaweza kupindua hilo kwa kubadilisha katiba.
SI unajua nguvu ya hela
Hawez kuwa rais wa marekan kwasababu hajazaliwa Marekani sheria zao zinakataaElon Musk, mtu tajiri zaidi duniàni siku za hivi karibuni amekuwa akifanya kazi pamoja na Rais Trump. Ukaribu wao unawatia watu wasiwasi hivyi kwamba baadhi ya wataalamu wanadai Serikali ya america inaongozwa na Elon Musk badala Trump.
Hilo halina shaka Elon musk anashauriana na Trump kuhusu maamuzi ya serikali.
Je Kuna uwezekano Elon Musk kuwa president ajae USA?
Kumbuka Elon Musk ni mzaliwa wa Afrika Kusini ila amenunua uraia wa Marekani.
Maskini Bwana Wanavyo waombea Watu Mabaya Roho Mbaya Tuu Ndio Ina Inawakolokocha, Africa Pumbavu SanaaaSidhani, kwanza kabla miaka 3 kuisha watakuwa washatibuana.
Elon ni opportunist, kama kitu hakimnufaishi anapiga sana kelele ndiyo maana uliona tu ule mpango wa kuwekeza 500 billion dollars kwenye data center alikuwa anaukandia kwa sababu tu yupo Sam Altman.
Hapo hapo anaishitaki Open AI akipinga kuwa profit organization, sasa kajichanganya juzi katangaza offer ya kuinunua na wamefile barua aliyowatumia ya offer mahakamani wakidai hoja zake zinaji contradict. Anawashitaki kwa kutaka kuwa for profit, hapo hapo anataka kuinunua ili naye aigeuze ya faida.
Conflict of interest, wakati akipita kila mahali kupunguza budget na mikataba mingine kufutwa, tesla imeuza magarii kwa serikali kwa deal lenye thamani ya milioni 400 dollars.
Naona anaingia na NASA kumbuka NASA hao hao wana deal na space x, wana deal na blue origin na makampuni mengine, sasa itakuwaje. Nachoona ni sawa na tanzania unayegombea naye ndiye mwenye uwezo wa kutangaza mshindi.
Kwa tamaa za Elon Musk lazima at some point watatibuana na Trump.
Bila shaka unapenda Trump na Musk waendelee kuwa pamoja kikazi.Maskini Bwana Wanavyo waombea Watu Mabaya Roho Mbaya Tuu Ndio Ina Inawakolokocha, Africa Pumbavu Sanaaa
Mtoto wa elon musk..ndio atakuwa Rais alafu anafata mtoto wa trampBila shaka unapenda Trump na Musk waendelee kuwa pamoja kikazi.
But maoni ya jamaa yanaweza kutokea siku zijazo.
Mafahari wawili hawakai zizi moja!
Not kwa mifumo ya US, when it comes to president candidate hao jamaa wako serious sana. Mifumo yao ya uteuzi si mepesi kama ya bongoKatiba ya Marekani inasema lazima mgombea awe amezaliwa Marekani lakini Musk anaweza kupindua hilo kwa kubadilisha katiba.
SI unajua nguvu ya hela
Yeah , ahsante kwa kunijulisha.Not kwa mifumo ya US, when it comes to president candidate hao jamaa wako serious sana. Mifumo yao ya uteuzi si mepesi kama ya bongo
Inaruhusiwa, but lazima afir vigezo vya uraia, state by state requirement. Yaani states zote za americq zi approve kwamba ana qualifyYeah , ahsante kwa kunijulisha.
Kila serikali ina mifumo yake ya uchaguzi.
Some system are greater than others.
ILa je mtu binafsi anaruhusiwa kugombea USA?