secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 2,998
- 4,948
Yeah!
Nadhani tunakumbuka jinsi bwana Yericko Nyerere alivyotuhumiwa kuiba nyuzi za wana JF kuandika vitabu vyake anavyoviita vya kijasusi hata akawapiga watu pesa Kwa kuwauzi vile vitabu.
Sasa hivi kijana wetu Erick Kabendera amekuja na kitabu chake ambacho kwa kiasi fulani kimemgusia ankomagu. Swali ni kwamba huyu Kabendera kweli hajaja humu jukwaani kukopi na kupesti mistari tukuka kutoka kwenye nyuzi mbalimbali Kwa mfano uzi wa Kiranga, Pascal Mayalla, Mshana Jr, Robert Heriel Mtibeli, BICHWA KOMWE -, BRAZA CHOGO, Ibn Unuq, Monetary doctor na nyuzi zinginezo za wana JF?
Yawezekana tulimkamata Yericko Nyerere Nyerere Kwa sababu alitumia kiswahili.
secretarybird nimeshamwajiri mkenya apitie kile kitabu na kunitafsiria Kwa kiswahili ili nijue kama jamaa kaiba uzi wangu ama la.