LUCA- Living Universal Common Ancestor sayansi imeweka theory miaka minne iliyopita kuwa anaishi kama Eubacteria kwenye eneo acid kali chini ya bahari (siikumbuki)Sasa hivi, wanasayansi wote wanaamini evolution ni ukweli kwakuwa imeweza kupredict vitu vingi sana na ina ushahidi mwingi sana.
Wewe unatumia au unatushauri tutumie nini then ili kuujua ukweli?Sayansi na Dini hizi zote ni takataka na propaganda zilizotungwa na wahuni ili kufichwa ukweli wa asili ya maisha ya dunia na kweli hii huwezi ipata kwa kusoma hizo takataka za vitabu vya dini ama vitabu vya kisayansi vilivyobase kwenye nadharia za wahuni wa Propaganda za Evolution..
Tutafika tu kwenye kuthibitisha kikamilifu maana sayansi inakua. Na kutokana na tafiti katika haya magonjwa yasiyo ya kuambukiza it will be very soon.Lakini bado ni ngumu ku'argue kuwa hizi day to day behaviours zinaweza kuleta mabadiliko ambayo yanaweza kuwa inherited, na ndiyo maana Lamarck alipingwa..
However hii mada bado mbichi maana modern scientists bado wanafuatilia uwezekano wa non-DNA inheritence na epigenetics Lakini unfortunately hatuna Data za kutosha kusema ni ukweli au ni uongo..Hivyo this is an ongoing study
Very niceInteresting😊🤔,,,naskia Kuna Kabila la watu wa bajawi huko south America ambao wameevolve juzi juzi Tu hapa🤥...Kuna gene imeevolve huko Na kuwafanya waweze kubana pumzi Majini Kwa Zaidi ya dakak 10 (binadamu wa kawaida mwisho Ni dakk 1-3) Kwa kuongeza ukubwa wa spleen inayotunza Zaidi damu yenye oxygen mwilini.
Kwahyo hiyo gene Imekuwa dominant kwao saivi.
Tatizo binadamu sikuizi tunasafiri Sana Na Kwa urahisi mnoooo.😎..hivyo tunachangamana Sana Na kufanyA gene kama hizi iwe rahisi kupotea🤫...kwahyo evolution ya binadamu in total imeslow down .Maana yake Ni Kuwa kama binadamu angengundua ndege Na Magali Kabla hizi races (wazungu,wachina) hazijaevolve, kulikuwa Na uwezekano mkubwa Leo kusingekuwa Na races maana wote tungekuwa tunafanana maana tulichangamana sana...
Na pia baada ya miaka mingi ijayo kutakuwa Na race moja Tu maana tutakuwa tumechangamana Sana Kias kwamba Kila mtu atakuwa 'chotara' Na hizi mambo Za wazungu Na waafrika zitakuwa story Za kwenye vipindi vya history...🙆
Na kinyume chake pia Ni Kweli.....maana yake binadamu tusingechangamana huenda kufikia Leo hizi races zetu zingekuwa Ni species tofauti,wote tusingekuwa kiumbe kimoja (binadamu) Na huenda weusi Na wazungu wasingeweza kulala Na kupata mtoto.
Hii pia inamaanisha Kuwa kama ikusingekuwa Na muingiliano, Hawa watu wa bajawi huenda wangeendelea kuevolve Na Kuwa hata samaki watu...
(Kumbuka nyangumi Na dolphin nao pia Ni mamalia waliokuwa wakiishi nchi kavu lakini wakapenda maji mpaka wakaevolve Kuwa wa Majini,,,samaki Hawa Hawana mapezi lakini Wana mapafu kama Sisi hivyo wanaishi Majini Kwa uwezo wa kubana pumzi mda mrefu)
Okay Sawa....kwanini? Una evidence Gani against it?Évolution: a tale for grownups!
Haina tofauti na hadithi ya binti chura!
Unatoaje evidence against kitu ambacho hakipo?Okay Sawa....kwanini? Una evidence Gani against it?
Uneshawahi kusoma kazi za appendix?From the sequel "The Last Ship" kuna mzee mmoja anatoa mnakasha wa genetics akaukiza "Who needs appendix now"
Nikafatilia nikaona kuna watu wanafanyiwa surgery appendix inaondolewa na wanaishi bila complexities.
So inawezekana kuna evolution inaendelea.
Hata hivyo, vitabu vinaandika siku za mwisho maarifa yanapanuka sana
What if the creator used evolution to bring about diversity of life we see today?Uneshawahi kusoma kazi za appendix?
Kama vestigial kaitoe basi...!
Genetics ni kaburi la evolution. Genetics points to Creator not random blind evolution processes
The good thing is we don't have to ask what if, when it comes to the Creator creating. He have given us a throughly account of creation.What if the creator used evolution to bring about diversity of life we see today?
Na hicho kitu hakipingani na tunayoyakubali leo, ona mtoto kanazaliwa kadogo hakana ndevu, baadaye kadri muda unavyoenda ndio kanaota ndevu kanakuwa mwanaume. Anapata uwezo wa kuzalisha watoto etc. Mbona hata leo tunasema tumeumbwa na Mungu hata kama hatutokei tu kama watu tunaanza kama mpira wa seli?
Those people who recorded creation were not in position to write in evolutionaly terms as if they could if they were alive today or then during creation itself.The good thing is we don't have to ask what if, when it comes to the Creator creating. He have given us a throughly account of creation.
First He created full grown man and made a woman out if him. That alone contradicts the whole evolutionary model.
Secondly he created everything in six days not millions of years. That puts last nail in the coffin. And finally He did that with intelligence hence mathematical universe with a lot of constants, language of life in cells et al. That buries the whole theory never to raise again.
It is either God created or from nothing and nowhere for no reason things came into being and evolved.
Am intelligent enough to reject fairy tale of evolution
Who are the "those people"? The Biblical account of Creation is God's revelation. There was no human, angel or anything else before creation and there was no human before Adam. So who are you talking about?Those people who recorded creation were not in position to write in evolutionaly terms as if they could if they were alive today or then during creation itself.
So you are trying to limit God by the laws He put after creation? Those mathematical concepts are not eternal. God put them so they can never be limit factor when talking to supernatural creation. So forget about them when you are talking of Creation!Relativistic concepts tells us that time is different depending on the observer.
God is the one giving that clear account to humans. Do you think you know better than the eye witness?At that time there was only God so if He say I made cocoa tree in five seconds it doesnt mean if a human was there[ i dont know how] he could observe 5 seconds too.
Silazimishi. God said so. wewe ndio unalazimisha ma idea yako yawe ukweli and you were not there!Halafu time doesn't bind God sijui kwa nini unalazimisha ni six days?
Evolution means gradual changes, blind and unguided resulting in big changes over millions of years. So Adam could not be created in few minutes/hours of the day. It took millions of years to evolve first living thing into humans. You seem to be ignorant of what even the tale of evolution teaches!About created full grown it is not contradicting step by step evolution.
Yes. God made Adam and Eve and created in them ability to reproduce after their kind. Moreover God is the one who allow the formation of a child when sperm meets an egg. In that regard, I'm created by God!If I ask you were you not created by God?
Mixing a lie and some truth here. Did I as little baby (which you call a fetus and others call a lump of cell for their own agenda) in my mom's womb? Definitely!Were you not a developing foetus in womb surrounded by a sea of amniotic fluid just like your ancestors did millions of years ago? Utasemaje?
You are the one who is not using senses if anything!Mr Stefano Mtangoo can you agree first to use your senses.
I mean let us not treat the said verses as somehow fixed. We can understand them and what they meant with application of reason.
Unaona shida ilipo? Unataka idea zako ndio ziwe kwenye hizo mistari hata kama hazipo. Is that your definition of using senses?Unapon'gangana days kama days za leo then itabidi utuelekeze how were they counted when the sun was not yet created?
Aisee! Na wewe umekaririshwa? Nitajie dating method yoyote unayoijua ambayo inaweza pima kitu kilichokaa milions of years!Proofs za millions thousands of years zipo kwenye ma dating fossils.
Futile assumption. You are trying to put language barrier that is not there! Where do you get this?About God Himself telling people to write there is one thing you are not taking into account. Level of knowledge of those people.
Example when God said 'I made everything in the universe'. In their language and science the whole universe was earth so they write 'I made everything in the earth'. What makes you think it wasn't the same with days?
If you want to believe the fairy tale of evolution, you are welcome to do so. But do not try to justify it using the Bible. The Bible is very clear in what is teaches, does not have fake problems you are trying to make and contradicts evolution in every way possible!And when one agrees with evolution there are various theories as to how it came about, guided willed etc all are available to choose from. Example Lamarks theory
Doesnt this itself show that those days [in which light and darkness I dont know how were they alternating] are not today's days in which we use light and darkness directed by the sun?Light was created at the very beginning. Sun is created later. We do not need a sun to have morning and evening, we need light and darkness. Understanding now?