Je, Evolution ni Ukweli au Nadharia tu?

Wewe ukwli unaupata kwa kusoma nini?
 
Guys mpo vizuri kweli Kiranga hatuwezi kupata neno lako kuhusu huu mjadala ?
 
Kuna watu ni wabishi sana...Hata bacteria tu zinaevolve ili kuipinga dawa
Wewe unaweza kuelewa hili kirahisi kwa sababu una uelewa wa bacteria wanavyo evolve kushinda dawa, ndiyo maana zile tetracycline hazitumiki sana siku hizi.

Mimi nililielezea hili tangu mwaka 1995.

Sasa hapa JF unaweza kubishana na mtoto ambaye mwaka 1995 alikuwa hajazaliwa, hajui bacteria ni nini, hajui Kiingereza, na anaamini magonjwa yanaenezwa kwa uchawi na majini.

Sasa hapo mtaelewana vipi?

Tuongeze uelewa ili tuhoji mambo kisomi na si kishabiki tu.

Granted, evolution ina maswali mengi ambayo hayajajibiwa sawasawa, na nikisikia mtu anahoji haya, nafurahi kuona anavyotumia akili yake.Lakini kuna wale evolution deniers mimi mara nyingine hata kujadiliana nao naona ghasia tu.

Ni sawa na kubishana na mtu wa "Flat Earth Society".



MO11
 
we mzaramo ushaanza
 
Huo ndio ukweli,hata mademu waliozaluwa kuanzia mwaka 2000 wanavutia zaidi kuliko dada zao waliozaliwa kabla
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…