Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe ukwli unaupata kwa kusoma nini?Both evolution na creation za religious ni uongo mkubwa.
Kisayansi haiwezekani uumbaji wa watu wawili waje wazae races na rangi tofaut tofauti bila ya kuwa na muingiliano wa mbegu ya utofauti ili kuja kuleta kiumbe cha race/rangi ya tofauti na hawa waliopo.
Sijui kwanni ktk sayansi na dini watu huogopa kuhoji haya maswali.
Eti mtu wa mwanzo alikuwa nyani and then why not now hao nyani hawabadiriki?
Kama huyo eva na adam walikuwa wazungu je hawa races zingine za waafrika/indians, chinese, walitokea vipi? Hakuna muujiza wa mtu kuzaliwa na race tofaut na ya mzazi wake pasipokuwa na muunganiko wa races mbili tofaut ili kuleta huo uchotara.
Upuuzi mwingine ni kuforce tuamni races za watu weupe zilitokea baada ya watu weusi kwenda maeneo ya baridi na kupelekea ngozi zao kubadirika na kuwa weupe, je wale watumwa wa kiafrika waliochukuliwa mateka miaka400 iliyopita kwanini hawajabadirika mpka leo wapo vile vile weusi?
Sayansi na Dini hizi zote ni takataka na propaganda zilizotungwa na wahuni ili kufichwa ukweli wa asili ya maisha ya dunia na kweli hii huwezi ipata kwa kusoma hizo takataka za vitabu vya dini ama vitabu vya kisayansi vilivyobase kwenye nadharia za wahuni wa Propaganda za Evolution..
Wewe unaweza kuelewa hili kirahisi kwa sababu una uelewa wa bacteria wanavyo evolve kushinda dawa, ndiyo maana zile tetracycline hazitumiki sana siku hizi.Kuna watu ni wabishi sana...Hata bacteria tu zinaevolve ili kuipinga dawa
we mzaramo ushaanzaWewe unaweza kuelewa hili kirahisi kwa sababu una uelewa wa bacteria wanavyo evolve kushinda dawa, ndiyo maana zile tetracycline hazitumiki sana siku hizi.
Mimi nililielezea hili tangu mwaka 1995.
Sasa hapa JF unaweza kubishana na mtoto ambaye mwaka 1995 alikuwa hajazaliwa, hajui bacteria ni nini, hajui Kiingereza, na anaamini magonjwa yanaenezwa kwa uchawi na majini.
Sasa hapo mtaelewana vipi?
Tuongeze uelewa ili tuhoji mambo kisomi na si kishabiki tu.
Granted, evolution ina maswali mengi ambayo hayajajibiwa sawasawa, na nikisikia mtu anahoji haya, nafurahi kuona anavyotumia akili yake.Lakini kuna wale evolution deniers mimi mara nyingine hata kujadiliana nao naona ghasia tu.
Ni sawa na kubishana na mtu wa "Flat Earth Society".
Tetracycline Resistance - an overview | ScienceDirect Topics
www.sciencedirect.com
Origins and Evolution of Antibiotic Resistance - PMC
Summary: Antibiotics have always been considered one of the wonder discoveries of the 20th century. This is true, but the real wonder is the rise of antibiotic resistance in hospitals, communities, and the environment concomitant with their use. The ...www.ncbi.nlm.nih.gov
MO11
Mimi nimeitikia mualiko kuleta kisomo hapa.we mzaramo ushaanza
Kujibu swali moja common kuhusu evolution kabla halijaja ‘’Kama tumetokana na nyani, kwanini nyani wa leo hawageuki kuwa watu?’’
1. Hakuna mtu aliyesema tumetokana na nyani, lakini ni kuwa Nyani na sisi binadamu tumetokana na kiumbe kimoja (Babu yetu). Hivyo wajukuu wa hiko kiumbe wengine tumekuwa binadamu wengine wamekuwa nyani na miaka ijayo huenda binadamu tukabadilika kuwa kitu kingine na nyani wakawa kitu kingine (Evolution haina direction/goal) kwamba lazima nyani wawe watu. (Inawezekana baada ya miaka laki 2 ijayo nyani wakawa na mapezi kwakuwa dunia ilijaa maji ikabidi wajifunze kuogelea).
2. Evolution ni very slow process na inachukua miaka hata 50,000 mpaka mamilioni, kwahiyo kwa muda tuliokuwepo duniani mabadiliko kwa viumbe hutokea lakini katika nyanja ndogo sana (Mfano bacteria/virusi hubadilika kuzipinga dawa..ndiyomaana dawa nyingi hubadilika na muda). Hivyo ni ngumu kwa miaka 1000-6000 kuona nyani anabadilika kuwa mtu
Maisha yanabadilika sana, binadamu aliyeishi duniani miaka 2000 iliyopita sio sawa na binadamu wa leo. Leo binadamu anakula chakula kingi kwa wastani, anamulikwa na mwanga mwingi machoni (TV, Simu)..Kwahiyo binadamu anaweza kukua kiumbo kutokana na chakula(Binadamu wa siku hizi ni wakubwa kidogo tofauti na miaka ya 1700 kurudi nyuma) na pia anaweza kubadilika macho (Macho ya bluu kwa wazungu ni kitu cha hivi karibuni).
Huo ndio ukweli,hata mademu waliozaluwa kuanzia mwaka 2000 wanavutia zaidi kuliko dada zao waliozaliwa kablaKujibu swali moja common kuhusu evolution kabla halijaja ‘’Kama tumetokana na nyani, kwanini nyani wa leo hawageuki kuwa watu?’’