Je, ex wa Jux, Jack Cliff kutoka gerezani mwezi huu?

Lord Diplock MR

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2015
Posts
1,393
Reaction score
3,237
Ikumbukwe kuwa video vixen maarufu Jack Patrick/ Cliff ambaye pia alikuwa mpenzi wa Msanii Jux alihukumiwa kwa kukutwa na madawa ya kulevya nchini China tarehe kama ya leo tarehe 11/ 08/2014.

Japo hakukuwa na taarifa rasmi lakini tetesi kutoka kwa watu wake wa karibu zilidai kuwa alihukumiwa kwenda jela kwa muda wa miaka 6.

Kama hizo taarifa ni za kweli basi leo tarehe 11/08/2020 ndiyo ametimiza miaka 6 gerezani, na kama ni hivyo tumtegemee wakati wowote kuachiwa na kurudi nchini kuungana na familia yake.
 
Hapana.
Akirudi atakuwa kwenye early 30's.
Nani alikuambia miaka hiyo kazeeka?
Labda kwa miaka hiyo uwe unaishi mamsera unakata migomba.
Lakini kwa mjini hapa bado sana.
duuuh hapo mamsera ndio anapotoka mama angu aiseeee.......kaka yake maarufu sana pale stendi ana duka la jumla na rejareja
 
Tamaa mbaya. Sijui Louis Vuitton,Christian Louboutin,Christian Dior,Gucci et al.Maana zaidi kuvaa hakuna la maana alilopata kwa kuwa punda.
Kama atatoka jela hope atakuwa kujifunza.
Akija Sasa atakuta trend imebadilika watu siku hizi sio punda Tena Ni wanadangaling

Yes kudanga ndio trend ya mjini saivi

Ila Toto lilikuwa zuri nyie refu Lina mwili mzuri jeupe duuh

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…