Lord Diplock MR
JF-Expert Member
- Mar 16, 2015
- 1,393
- 3,237
Ikumbukwe kuwa video vixen maarufu Jack Patrick/ Cliff ambaye pia alikuwa mpenzi wa Msanii Jux alihukumiwa kwa kukutwa na madawa ya kulevya nchini China tarehe kama ya leo tarehe 11/ 08/2014.
Japo hakukuwa na taarifa rasmi lakini tetesi kutoka kwa watu wake wa karibu zilidai kuwa alihukumiwa kwenda jela kwa muda wa miaka 6.
Kama hizo taarifa ni za kweli basi leo tarehe 11/08/2020 ndiyo ametimiza miaka 6 gerezani, na kama ni hivyo tumtegemee wakati wowote kuachiwa na kurudi nchini kuungana na familia yake.