Mr pianoman
JF-Expert Member
- May 22, 2019
- 2,595
- 6,264
Hebu tuwekee picha zake tafadhali tumuone maana wengine hata hatumjuiAkija Sasa atakuta trend imebadilika watu siku hizi sio punda Tena Ni wanadangaling
Yes kudanga ndio trend ya mjini saivi
Ila Toto lilikuwa zuri nyie refu Lina mwili mzuri jeupe duuh
Sent using Jamii Forums mobile app