Je, faida kiasi gani nitapata kila mwezi?

Kwa mwaka utapata 3,600,000 so kwa mwezi sawa na laki 3, hii ni hasara kubwa sana.

Kama wewe huna muda wa kuisimamia hiyo pesa ikate nusu, weka 30 M bank, nyingine fanya biashara yenye risk ndogo na low supervision.
 
Kwa mwaka utapata 3,600,000 so kwa mwezi sawa na laki 3, hii ni hasara kubwa sana.
Kama wewe huna muda wa kuisimamia hiyo pesa ikate nusu, weka 30 M bank, nyingine fanya biashara yenye risk ndogo na low supervision.
Ishu hiyo biashara ya low risk na low supervision
 
Ishu hiyo biashara ya low risk na low supervision

Unalenga kiwanja cha milion 10 ama 15 uswahilini mjini mjini kama Ubungo, Tabata ama Yombo vituka. Uswazi watu wana njaa wanakukatia kiwanja ukiwa na cash, sio kikubwaa kidogo tu chini ya sqm 200.

Kisha unajenga rum master tu kama 7. Kwa milioni isiyozidi 30.

Kodi kwa mwezi unakunja zaidi ya laki 7.

Hapo umewekeza milioni 45. Makadirio ya juu
 
Hii bonge la akili....ebu nipe konnection ya kiwanja
 
Biashara zipo mkuu, mfano mwaka huu mwezi wa 6 nimeshuhudia huko Ifakara mpunga wa shambani umetema kwa laki moja kwa gunia, nilikuwa kwenye project pale tulimaliza project mwezi wa huu wa nane mwanzoni gunia la mpunga likiwa limefikia 130k, sasa kama kuna mtu alinunua mpunga kwa laki moja mwezi wa 6, kama alinunua gunia 100, ina maana katengeneza 3000000 kwa miezi miwili tu., na
Ishu hiyo biashara ya low risk na low supervision
 
Ruvu uko 120k,
 
Ndugu yangu hakuna income ya kijinga kama hiyo, utakapoweka bank itapata faida ya zaidi ya 600M ww utaondoka na 10% tu kila mwezi
Sio kila mwezi bali ni annually yaan hiyo asilimia kumi ni kwa mwaka. Hapo maana yake ni kuwa atapata 6,000,000/= ambayo ukiigawa kwa miezi 12 utapata 500,000/= (laki tano) kwa mwezi
 
Ndugu tuliza akili kila mtu atakuja na lake. Za kuambiwa changanya na zako. Hakuna tatizo kama kuwa na pesa afu ndo unatafuta cha kufanyia.

Wengi wanaofanikiwa kwenye biashara ni wale wanaokuwa na idea then ndo wanaitafutia pesa. Ndo maana wanaenda kukopa. Kila idea utakayopewa huku utaiona nzuri. Mwisho wa siku utajikuta zinapotea kidogokidogo
 
Wanajamvi habari,nilikuwa nataka kuweka pesa yangu kiasi cha shilingi milion60 kwenye fixed account nmb,kwa miaka miwili, je nitapata faida kiasi gani kila mwezi, kwa wazoefu naomba mnisaidie
Hiyo ni interest mzee , Ni riba , Ni haramu
Allah akujalie biashara halali yenye kukuingizia kipato halali
 
kuna jamaa yangu kanunua nyumba tandika uswahilini Kwa milioni 20 akairekebisha Safi ,Sasa hivi anakula Kodi tu...kwa wanaoijua tandika Sasa hivi jamaa kaokota dodo miaka mitano mbele anauza milioni 70 Kama sio mia
Mambo ya kuokota dodo ndg ni kw mtu yoyote,so kwa kila mtu,unaweza Jenga kwa bei ndogo na ukauza kw bei ndogo zaidi, lazima uwe na jicho la mbali.

Sent from my CPH2179 using JamiiForums mobile app
 
Hakika sitaki kupima kina Cha maji kwa miguu yote miwili

Sent from my CPH2179 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…