Je, faida kiasi gani nitapata kila mwezi?

Je, faida kiasi gani nitapata kila mwezi?

Sijakuambia kwakua nataka kujenga NOO!! Nataka u-justify kama 4M inajenga chumba master 😅😅😅

Chumba master why isijenge.. chumba kimoja na choo chake tu why 4m isijenge?

Tofali chumba kimoja master hazizidi hata 500, madirisha ni moja ama mawili. Plus vinginevyo why 4m isitoshe?
 
riba ni nini hakuna biashara isiyo na riba,ko hata ukinunua kitu kw Mia 500 na ukauza 700 ,hiyo 200 ya faida ni sawa na riba tu,Kama unataka uhalali labda uuze mia500 hiyohiyo,ko Cha msingi ni kufanya Jambo ambalo halimzulu mwingine

Sent from my CPH2179 using JamiiForums mobile app
Quran2:275 Wale walao riba hawasimami ila kama anavyo simama aliye zugwa na Shet'ani kwa kumgusa. Hayo ni kwa kuwa wamesema: Biashara ni kama riba. Lakini Mwenyezi Mungu ameihalalisha biashara na ameiharimisha riba. Basi aliye fikiwa na mawaidha kutoka kwa Mola wake Mlezi, kisha akajizuia, basi yake ni yaliyo kwisha pita, na mambo yake yako kwa Mwenyezi Mungu. Na wenye kurudia basi hao ndio watu wa Motoni, humo watadumu
Screenshot_20220615-140611.jpg
 
Biashara zipo mkuu ,mfano mwaka huu mwezi wa 6 nimeshuhudia huko ifakara mpunga wa shambani umetoma kwa laki moja kwa gunia, nilikuwa kwenye project pale tulimaliza project mwezi wa huu wa nane mwanzoni gunia la mpunga likiwa limefikia 130k, sasa kama kuna mtu alinunua mpunga kwa laki moja mwezi wa 6, kama alinunua gunia 100, inamaan katengeneza 3000000 kwa miezi miwili tu., na

Mchele unazidi kupanda Bei na Hamna namna utaporomoka
 
Niambie kwa nini milioni 30 isitoshe vyumba 7 master.. ambapo ukigawanya wastani ni 4.2m ya kila chumba kimoja

Mimi ninafanya biashara ya vyumba za kupangisha. Naongea kwa experience. Kama unabisha tafuta muda utembelee miradi yangu.

Tambua Nyumba ya kupangisha ama vyumba vya kupangishwa huwa vinajengwa kwa kutumia pesa pamoja na akili.

Ni sawa na kununua kiwanja kwa ajili ya kupangisha huwa hatuangalii ukubwa wa kiwanja mfano mwaka huu binafsi nimenunua sqm 140 kwa shilingi milion 12 ubungo makuburi. Na nilikataa kiwanja cha sqm 1200 kwa kwa milioni 10 kigamboni gezaulole .

Chumba kimoja master milioni 4 isitoshe?
Mkuu nipe connection ya hicho cha sqm 1200 Gezaulole kwa 10 kama bado kipo.
 
Back
Top Bottom