Sijakuambia kwakua nataka kujenga NOO!! Nataka u-justify kama 4M inajenga chumba master π π π
kwa wanaoijua tandika hyo NI pesa ndogo Sana na NI lazima ije kumlipa...Mambo ya kuokota dodo ndg ni kw mtu yoyote,so kwa kila mtu,unaweza Jenga kwa bei ndogo na ukauza kw bei ndogo zaidi,lzm uwe na jicho la mbali
Sent from my CPH2179 using JamiiForums mobile app
Pesa kuitoa ni simple sana lakini kuidumisha katika mzunguko inahitaj kujitoa,kujituma,na kufanya tafiti za kina zaidikwa wanaoijua tandika hyo NI pesa ndogo Sana na NI lazima ije kumlipa...
Quran2:275 Wale walao riba hawasimami ila kama anavyo simama aliye zugwa na Shet'ani kwa kumgusa. Hayo ni kwa kuwa wamesema: Biashara ni kama riba. Lakini Mwenyezi Mungu ameihalalisha biashara na ameiharimisha riba. Basi aliye fikiwa na mawaidha kutoka kwa Mola wake Mlezi, kisha akajizuia, basi yake ni yaliyo kwisha pita, na mambo yake yako kwa Mwenyezi Mungu. Na wenye kurudia basi hao ndio watu wa Motoni, humo watadumuriba ni nini hakuna biashara isiyo na riba,ko hata ukinunua kitu kw Mia 500 na ukauza 700 ,hiyo 200 ya faida ni sawa na riba tu,Kama unataka uhalali labda uuze mia500 hiyohiyo,ko Cha msingi ni kufanya Jambo ambalo halimzulu mwingine
Sent from my CPH2179 using JamiiForums mobile app
Kaweke UTT, utapata faida kuanzia asilimia 14 mpk 15 kwa mwaka. Kila mwezi utaingiziwa gawio la 600,000/=
Unapata faida kwa kuwekeza pesa zako. Kiwango kikiwa kikubwa na faida ndio inakuwa kubwa.Hii ishu ya utt faida napataje
Biashara zipo mkuu ,mfano mwaka huu mwezi wa 6 nimeshuhudia huko ifakara mpunga wa shambani umetoma kwa laki moja kwa gunia, nilikuwa kwenye project pale tulimaliza project mwezi wa huu wa nane mwanzoni gunia la mpunga likiwa limefikia 130k, sasa kama kuna mtu alinunua mpunga kwa laki moja mwezi wa 6, kama alinunua gunia 100, inamaan katengeneza 3000000 kwa miezi miwili tu., na
Mkuu nipe connection ya hicho cha sqm 1200 Gezaulole kwa 10 kama bado kipo.Niambie kwa nini milioni 30 isitoshe vyumba 7 master.. ambapo ukigawanya wastani ni 4.2m ya kila chumba kimoja
Mimi ninafanya biashara ya vyumba za kupangisha. Naongea kwa experience. Kama unabisha tafuta muda utembelee miradi yangu.
Tambua Nyumba ya kupangisha ama vyumba vya kupangishwa huwa vinajengwa kwa kutumia pesa pamoja na akili.
Ni sawa na kununua kiwanja kwa ajili ya kupangisha huwa hatuangalii ukubwa wa kiwanja mfano mwaka huu binafsi nimenunua sqm 140 kwa shilingi milion 12 ubungo makuburi. Na nilikataa kiwanja cha sqm 1200 kwa kwa milioni 10 kigamboni gezaulole .
Chumba kimoja master milioni 4 isitoshe?
Niambie kwa nini milioni 30 isitoshe vyumba 7 master.. ambapo ukigawanya wastani ni 4.2m ya kila chumba kimoja
kimoja master milioni 4 isitoshe?
Kwann isitoshe mkuu??,,,tatizo watu humu huwa wanaongelea ujenzi wa kwenye makaratasi...na kuna akina cc tunaongelea kabsa tukiwa sites