Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Nilishafungua kesi hiyo na jambo hilo sasa hivi linashughulikiwa na Nebraska District Court. Kwa kwa sasa hivi siwezi kuongelea zaidi jambo ambalo bado liko mahakamani.
Teh teh teh....I just don't believe you but it's ok.
itabidi hata polisi akila rushwa akiwa kwenye uniform, selikali ndio iwajibike kwasababu alikuwa anafanya kazi akiwa kwenye uniform za serikali? ndio tuseme hivyo?, ....inawezekana kabisa selikali ikawa responsible for the wrongs of its servants...lakini wale servants wanatakiwa wawe walikuwa wanafanya shughuli walizotumwa na mkubwa wao. superior anaweza kuwa responsible for the wrongs of the subordinate only where he commanded it be done, au labda tuseme yale mambo aliyoyafanya polisi yalikuwa part of his day to day duties. tuseme polisi kazi yao ni kuua wananchi? ....nawezasema kwamba, inawezekana na pia inaweza kuwa haiwezekani, ngoja kwanza nikaperuzi kwenye madesa na case law, ndio nitatoa jibu la maana. nawaachia wenzangu muendelee kuchangia.Hapana, Mwangosi ameuwawa na polisi waliokuwa ndani ya uniform wakifanya kazi yao kipolisi kwa mujibu wa sheria, kwa hiyo walikuwa wakifanya kazi kwa niaba ya serikali, na hivyo serikali inahusika moja kwa moja. Angeuwawa na polisi mitaani kwa sababu zao binafsi ndipo hoja yako ingekuwa sahihi.
..napendekeza zaidi ya rambirambi, lipatikane JOPO LA WANASHERIA litakalowasaidia familia ya Mwangosi na yule kijana aliyeuwawa Morogoro.
itabidi hata polisi akila rushwa akiwa kwenye uniform, selikali ndio iwajibike kwasababu alikuwa anafanya kazi akiwa kwenye uniform za serikali? ndio tuseme hivyo?, ....inawezekana kabisa selikali ikawa responsible for the wrongs of its servants...lakini wale servants wanatakiwa wawe walikuwa wanafanya shughuli walizotumwa na mkubwa wao. superior anaweza kuwa responsible for the wrongs of the subordinate only where he commanded it be done, au labda tuseme yale mambo aliyoyafanya polisi yalikuwa part of his day to day duties. tuseme polisi kazi yao ni kuua wananchi? ....nawezasema kwamba, inawezekana na pia inaweza kuwa haiwezekani, ngoja kwanza nikaperuzi kwenye madesa na case law, ndio nitatoa jibu la maana. nawaachia wenzangu muendelee kuchangia.