Huu ndio ulimbukeni wa watangazaji wetu na uvivu wa kufanya analysis sasa mtu hata hajawahi tokea kwenye media kubwa yoyote unasema maarufu sababu mnakutana club kila siku. Hata mimi kanishangaza sana na hata January mwenyewe kashtuka
Wanaojulikana ni watatu au kuna wengine?
-Mwamvita
-January
-Thuweini
Makamba ana watoto wengi sana. Hao ni wa mama mmoja wa familia bora, wengine wako tanga walimu, mateja na wengine wametoswa......... Waafrika ni kwamba watoto wa mama uliye naye ndio wanaotambulika. Wengine wote ni machokoraa
Ally atakuwa huyo ndio mlevi sana alifukuzwa uhakimu Moshi huko sababu ya pombe!!
Mwingine anaitwa "february"!!Wanaojulikana ni watatu au kuna wengine?
-Mwamvita
-January
-Thuweini
mabwaku...