Je, familia ya Yusuph Makamba wote ni Masupa Star?

Je, familia ya Yusuph Makamba wote ni Masupa Star?

Suzie

JF-Expert Member
Joined
May 7, 2010
Posts
1,267
Reaction score
421
Nimeangalia kipindi cha Mikasi nilichomsikia Muongoza kipindi ni swali moja ambalo limenifanya nikimbilie hapa Jamvini mnisaidie maana Salama kamwambia January kuwa wao wote ni Masupastar akamtaja mdogo wao wa mwisho kiukweli simfahamu kama ni wa kike au wa kiume. Ombi langu mwenye historia ya huyu dogo atuwekee maana sisi wengine humu jamvini wageni kama mlishamdiskasi itatusaidia zaidi.
 
Huu ndio ulimbukeni wa watangazaji wetu na uvivu wa kufanya analysis sasa mtu hata hajawahi tokea kwenye media kubwa yoyote unasema maarufu sababu mnakutana club kila siku. Hata mimi kanishangaza sana na hata January mwenyewe kashtuka
 
Nilijua peke yangu kumbe tuko wengi kidogo maana ninachojua Makamba anawatoto wawili sasa watatu ni yupi? Au ni wa nje ya ndoa???? Na ana nini spesho mpaka hao wanaomjua wanamjua??
 
Huu ndio ulimbukeni wa watangazaji wetu na uvivu wa kufanya analysis sasa mtu hata hajawahi tokea kwenye media kubwa yoyote unasema maarufu sababu mnakutana club kila siku. Hata mimi kanishangaza sana na hata January mwenyewe kashtuka

Well said, maana swali kama hilo lazima kabla ya kulitetea angefanyia udadisi kwanza
 
kwani what a big deal with u super-star..........mi mwenyewe superstar kwenye familia yangu!!!.......ila kiukweli familia yao inafahamika sana japo sio wote
 
Watanzania bwana, kiongozi watoto wake wakiwa vilaza mnaongea oo mwl nyerere hakuwatendea haki watoto wake, wakiwa mastar gumzo, oo! Ona kasri la mwamvita. Wabongo bwana mnafurahisha sana.
 
Wanaojulikana ni watatu au kuna wengine?

-Mwamvita
-January
-Thuweini
 
naomba kuuliza huyu january o level alisomea wapi?
 
Makamba ana watoto wengi sana. Hao ni wa mama mmoja wa familia bora, wengine wako tanga walimu, mateja na wengine wametoswa......... Waafrika ni kwamba watoto wa mama uliye naye ndio wanaotambulika. Wengine wote ni machokoraa

Kuna mmoja alikuwa anasoma Mzumbe pale, mlevi mlevi hivi
 
Ally atakuwa huyo ndio mlevi sana alifukuzwa uhakimu Moshi huko sababu ya pombe!!
 
Back
Top Bottom