Je, Fantasy yako katika mapenzi ni ipi?

Je, Fantasy yako katika mapenzi ni ipi?

My next show nmepanga nizame kwa mpalange japo bado sijamwambia demu, Sa sijui itakuaje au ndo ntaharibu mahusiano
 
Hata kama haunywi pombe, hebu jaribu kubadili sehemu unazopata msosi, jifanye mpenzi wa Sushi pale Osaka, au iced tea Spurs, Shooters, water front, kama we ni mchumi nenda hata pale HotBox Leaders kale baga, usiwe desperate, we fanya tu kama unakwenda kupata msosi wa mchana kila siku pale...usiwe na haraka, lazima kuna mtu siku atavutiwa na kuomba kukaa kiti mkabala...teh teh!

Mmoja kama huyu anakuja Karambezi almost every day, anakunywa maji tu, lakini sson atafanikiwa. Kwa kweli anaonekana ana mkakati mzito.
 
My fantasy is to smash as many races as possible in all of the habitable continents.

I'm not all the way there but I'm definitely half-way through.

cuffs, whipped cream with cherries and strawberries on top*
Duh!!!!, Angalia usije angukia pua
 
Niliwahi kuwa na fantasy kama hiyo. Lakini mazingira yalinizuia, nilipopata nafasi niliitumia barabara. races from far east, south America( wahindi wekundu) ndio sikuwa na access nao. And I'm done now..!
Ulipata faida gani sasa???.
 
Back
Top Bottom