Je, FedEx wana ofisi pale airport Dar? Kuna anaefahamu mizigo ya FedEx inafikia ofisi ipi Kwa ajili ya custom clearance

Kwanini shirika letu la posta halichangamkii fursa ya kusafirisha na kupkeai mizigo toka nchi za nje kwa ufanisi na uharaka wa hali ya juu au nod desturi yetu cha umma lazima kibovu kisiwe na ufanisi
 
Uzi wa mwaka juzi,ila ukweli FedEx wakala wake n faris..FedEx Hana leseni ya forodha mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…